Mak Jr
JF-Expert Member
- Nov 24, 2015
- 443
- 316
sifa mojawapo ya mwanamke ktk mahusiano ni msimamo!..hivyo huyo anatanga tanga tu haeleweki.
Anajirudi kwako baada ya kugundua kuwa muda unasogea, ametumika vya kutosha (spare taili) mpka kupelekea kukosa mume aliye sahihi kwake, sasa kaona bora arudi ktk penz lake la awali..
Nionavyo mm:
Achana nae, heshimu ndoa yko kwa kuwa :-
-hana msimamo uyo..kama aliweza kukutoroka mara ya kwanza bas anaweza fanya hivyo tena.
-hujui anakuja kwako akiwa ktk hali gani ya kiafya..huwez jua huenda kuashaa copy ugonjwa uko sasa anataka ku-paste kwako..jihadhar sana apo.Linda familia yko.
-hujui ana nia gani kurudi kwako..viumbe hawa wana siri mno.
Tosheka na mke wako.
Usiumie saaaaaana kwa kuachwa na yy, mshukur sana Mungu maana hujui kakuepushia nin!
Naomba kuwasilisha!