Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

[emoji119][emoji119]
 
Aisee , hii story haina tofaut na story ya kangu , kama kwamba vile umenicopy my real life story na ku paste kwako

Mm pia yalinikuta na kisingizio kilikua hiko hiko uncle
Hawa kenge(wanawake) wanatuonaga sisi tunaowapenda tunakuwa kama vile vipofu (hatuoni ukweli)
 
Umekujaje huku?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] si unajua mi navyopenda weupe nililizwaga huko nyuma na msichana mweupe ila sikomi.
Unaachaje kukoma wakati hupendi madude [emoji6]
 
Hakika. Bonge ya pointi
 

"Mbwa wa kike"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…