Mi nilimleta huku kwa ndege japokuwa nilijitutumua sana hela zilinitoka kutokana na ujio wake ila nimejikuta nimefanya jambo ambalo limesuuza roho yangu nae aumie kisaikolojia kama mimi enzi zile.Akome mi ex wangu alivyogundua sina hela alianza ninyanyasa kupenda out za gharama tukaachana. Mwaka huu tulionana Dar kachoka balaa full kunuka jasho. Tako alilokuwa nalo halipo. Kujirud karudsha mapenzi kakuta nshabeba mke. Yupo zake anapigika.
Ha ha ha haUlianza mapenzi chuoni kama hivi bado sana kwenye game mimi demu aliyenifuta wenge na kujuta kupenda ni wakati nipo kidato cha pili ila sasa hivi akiniona ananiomba selfie
Mimi enzi zile nilikuwa najifanya john kisomo na dini nilikuwa hata kutukana siwezi ndo huyu akanishika masikio aisee nilijuta.Ulianza mapenzi chuoni kama hivi bado sana kwenye game mimi demu aliyenifuta wenge na kujuta kupenda ni wakati nipo kidato cha pili ila sasa hivi akiniona ananiomba selfie
Sipo vizuri kiundishi mkuu tusameheane mkuu.Inaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.
Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo makapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.
Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpr hata mia yangu.
Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
Nilifanya hivyo ili kumtamanisha tu kuwa life now is better japokuwa mi ndege kupanda ni kwa msaada wa safari za kikazi.Inaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.
Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo makapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.
Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpr hata mia yangu.
Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
ofcoz japokuwa uandishi wangu mbovu nimetype nikiwa kazini nimetingwa na kazi nimefanya hivi kumuonesha ulivyokuwa unaniliza kwa hali yangu ya uanafunzi haimanishi kuwa ningedumu nayo mpaka leo.Japokuwa nimetumia hela nyingi moyo wangu umeridhika nimemuachia homa.Ipo, nayo ni kutoa fundisho kwa wanawake
oK, ni kweli yalikukuta, pole na majukumuofcoz japokuwa uandishi wangu mbovu nimetype nikiwa kazini nimetingwa na kazi nimefanya hivi kumuonesha ulivyokuwa unaniliza kwa hali yangu ya uanafunzi haimanishi kuwa ningedumu nayo mpaka leo.Japokuwa nimetumia hela nyingi moyo wangu umeridhika nimemuachia homa.
Kama wote tungejua kesho yetu tungeepukana na upumbavu mwingi sana.Nilitoswa japokuwa nilikuwa nampenda
Nyie wanawake nyiee!!Kama wote tungejua kesho yetu tungeepukana na upumbavu mwingi sana.
Nimeipenda hii comment.Kama wote tungejua kesho yetu tungeepukana na upumbavu mwingi sana.
Sawa sawa mfugajiInaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.
Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo makapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.
Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpr hata mia yangu.
Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
'nimeenda kuonana nae kachoka mbaya ule uzuri wote aliokuwa nao umepungua' Kiswahili kizuri hapa ni kuwa amepauka...