Ex wangu aliniacha mwenyewe, sasa ananiblock mitandaoni.

Ex wangu aliniacha mwenyewe, sasa ananiblock mitandaoni.

relax,wanawake ndo wako hivyo..iliwahi kunikumba hiyo,demu kazingua mwenyewe then akaamua kuniblock,bahati nzuri me sinaga shobo kivile na wanawake,sikujisumbua kumtafuta,maisha yakasonga mbele,saivi tunavyozungumza haipiti masaa matatu hajanipigia eti anamiss kusikia sauti yangu...
 
Mkuu soma ujumbe wangu, sijawahi kukataa kuachwa maana hua sina tabia ya kuacha.

Ni miezi 11 sasa, nimeshangaa tu kwa nini afanye hayo sasa na sio huko nyuma.
Utakuwa ulikuwa una like mapicha yake mpotezee swahiba achana nae hata kumuanzishia hii topiki ni dalili za kuweweseka aka wenge la kupigwa chini
 
Huyu mwanamke sijui anateseka au ana shida gani.

Aliniacha mwenyewe mwaka jana, nikajaribu kumbembeleza akakataa akasema nikubali tuwe marafiki tu vinginevyo nimsahau.

Kwa bahati nzuri au mbaya huyu binti aliwahi kunitambulisha kwa baba yake, baba yake tulikua tukiwasiliana mara moja moja, siku moja akanipigia tukaongea, akaniuliza tunaendeleaje, nimamwambia vizuri ila sio sana, akanisisitiza nimwambie kama kuna shida, nikamwambia tuko poa, baadae akampigia binti yake, wakaongea wanayoyajua, baadae binti yake akanipigia akasema nisiwasiliane na baba yake, nikakubaliana nae bila kinyongo.

Baada ya hapo sikuwahi kumpigia sim wala meseji, hata yeye hajawahi kunipigia wala kunitafta, ila alikua rafiki yangu facebook, instagram, twitter na kwingine.

Amekua akipakia picha zake insta story, naangalia bila shida, jana nikaona kapakia picha asubuhi, baadae sikuiona, nikamtafta sikuona hata jina lake, nikamtafta facebook, twitter na huko kwingine sikuona jina lake, nikajua kaniblock kila mahala.

Nashindwa kuelewa, sina ugomvi na yeye, aliniacha mwenyewe, ni miezi mingi sasa, sasa sijui amewaza au anateseka nini hadi kuniblock.

Katika maisha yangu huyu ndie mwanamke alieniacha(ofcourse sina tabia ya kuacha mwanamke labda aniache yeye) ambae ameniblock social media zote na ambae siwasiliani nae, wengine wote tunawasiliana kama kawaida hata kama wana watu wao na wengine wameolewa na wengine wakipata shida wanatuma invoice, kama naweza naiclear.

Kwa wale mnaowaelewa wanawake vizuri, Kwa huyu shida iko wapi wakuu?
Je kwani wewe huna hela?Funguwa account kwa Jina jengine wewe Kilaza kama bado unampenda
 
Mkuu, nishamove on muda mrefu ila nimeshangaa tu kwa nini aniblock na kwa nini afanye hvyo sasa wakati tuna miezi karbu 11 toka tumeachana.
Kama ume move on kwanini bado unalia kuhusu EX wako ?

Wakati mwezako anapigwa pumbu zamaana huko aliko.
 
Je kwani wewe huna hela?Funguwa account kwa Jina jengine wewe Kilaza kama bado unampenda
Hela ya kula na kuhonga wanawake wazuri kama wewe sikosi. Ni pm mama nikubadilishie maisha yako.
 
Kuna mmoja jana nimempiga karipio la mwaka mtindo wa kuwasialiana na wanaume hovyo. Atakuwa ndio huyo..

Kuwa mpole tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkui hakunaga urafiki baina ya Ma-Ex, ukishaachana na mtu usirudi nyuma hata siku moja. Tena mpotezee kabisa, najua ni ngumu kwako lakini "out of sight is out mind" utamsahau tu.......
 
Chief me nadhani wewe ndiye unateseka, sababu alishakuacha. Sio umemuacha. So hata kukublock ni msisitizo tu hakutaki.

By the way huna sbb ya kung'ang'ania mwanamke akishakuacha, learn and live.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom