cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,655
Huyu ana mpenda ex wake bado lohWhy ushangae kifupi bado una muhitaji huyo ex wako na huo ndio ukweli nae ameligundua hilo soluhusho kakupa brock.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ana mpenda ex wake bado lohWhy ushangae kifupi bado una muhitaji huyo ex wako na huo ndio ukweli nae ameligundua hilo soluhusho kakupa brock.
Hahahaha why huyo bi dada kabrock namba yako kama kweli una pesa, huwezi kumpata mwanamke yoyote hata kama una pesa futa mawazo yako ya kijinga.Mkuu nina hela ya kutosha za kua na mwanamke yoyote ninaemtaka. Hilo halina shida.
Nilishakukataza, there is nothing like " moving on"Pole mleta mada inaonyesha unampenda ex wako had unamfatilia kimya kimya. Muombe msamaha mrudiane yeye kasha move on. Kuachwa ni shughuli pevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina hela ya kutosha za kua na mwanamke yoyote ninaemtaka. Hilo halina shida.
Pole.Huyu mwanamke sijui anateseka au ana shida gani.
Aliniacha mwenyewe mwaka jana, nikajaribu kumbembeleza akakataa akasema nikubali tuwe marafiki tu vinginevyo nimsahau.
Kwa bahati nzuri au mbaya huyu binti aliwahi kunitambulisha kwa baba yake, baba yake tulikua tukiwasiliana mara moja moja, siku moja akanipigia tukaongea, akaniuliza tunaendeleaje, nimamwambia vizuri ila sio sana, akanisisitiza nimwambie kama kuna shida, nikamwambia tuko poa, baadae akampigia binti yake, wakaongea wanayoyajua, baadae binti yake akanipigia akasema nisiwasiliane na baba yake, nikakubaliana nae bila kinyongo.
Baada ya hapo sikuwahi kumpigia sim wala meseji, hata yeye hajawahi kunipigia wala kunitafta, ila alikua rafiki yangu facebook, instagram, twitter na kwingine.
Amekua akipakia picha zake insta story, naangalia bila shida, jana nikaona kapakia picha asubuhi, baadae sikuiona, nikamtafta sikuona hata jina lake, nikamtafta facebook, twitter na huko kwingine sikuona jina lake, nikajua kaniblock kila mahala.
Nashindwa kuelewa, sina ugomvi na yeye, aliniacha mwenyewe, ni miezi mingi sasa, sasa sijui amewaza au anateseka nini hadi kuniblock.
Katika maisha yangu huyu ndie mwanamke alieniacha(ofcourse sina tabia ya kuacha mwanamke labda aniache yeye) ambae ameniblock social media zote na ambae siwasiliani nae, wengine wote tunawasiliana kama kawaida hata kama wana watu wao na wengine wameolewa na wengine wakipata shida wanatuma invoice, kama naweza naiclear.
Kwa wale mnaowaelewa wanawake vizuri, Kwa huyu shida iko wapi wakuu?
Atakuwa na mtu mwingine,anahisi wewe kuendelea kuona status zake kwenye media unaweza kumpeperushia njiwa wake.
Kwahyo kuna nini. Mimi sha move on several times tuNilishakukataza, there is nothing like " moving on"
Hapa jukwaani ametufisha baadhi ya vitu kama brock huyo mwanamke angebrock siku walipo achana why abrock mda umepita, jamaa inaelekea anataka kupasha kipolo.
Simhitaji kwa lolote mkuu. Ningemhitaji ningemtaka toka kipindi kile. Najua alikua na shida ya mtaji wa saloon na makeup studio ambao nilimnyima. Kama ningemtaka ningempa ili kumretain. Labda kukujulisha mgogoro ulianza aliponikuta na mwanamke mwingine. Unaweza kuelewa sasa.Why ushangae kifupi bado una muhitaji huyo ex wako na huo ndio ukweli nae ameligundua hilo soluhusho kakupa brock.
Hapa jukwaani ametufisha baadhi ya vitu kama brock huyo mwanamke angebrock siku walipo achana why abrock mda umepita, jamaa inaelekea anataka kupasha kipolo.
Ur not being nice to urself
Cause ur jumping from.one d.key after the other.
Huko sahihi kila mmoja anapenda aitwe mama/baba na awe katika ndoa na afurahie maisha.
Huko sahihi kila mmoja anapenda aitwe mama/baba na awe katika ndoa na afurahie maisha.