Mkuu, nishamove on muda mrefu ila nimeshangaa tu kwa nini aniblock na kwa nini afanye hvyo sasa wakati tuna miezi karbu 11 toka tumeachana.Unataka umuone wa nn move on tena ningekua mm ningebadl na namba
Hakunaga urafk kat ya ma ex
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshangaa tu kwa nini aniblock sasa, tuna miezi 11 toka tumeachana. Sonce them sijawahi hata kumtext. Point yangu ni why after miezi yote hyo afanye hayo leo?Bado unampenda, kwani akikublock Facebook mtaani hamuonani? Mkikutana barabarani atakublock vile vile? Huwajui wanawake wewe achana na huyo opportunist.
Sina sababu ya kuteseka. Nimeshangaa tu kwa nini iwe sasa na sio miezi yote hyo 11.Mbona iko wazi...kakublock kwasababu hataki uone mambo yake
Inaonekana wewe ndio unateseka,sio yeye
Sio uzi, kamba hii!Uzi tayari, 😂
Mkuu soma ujumbe wangu, sijawahi kukataa kuachwa maana hua sina tabia ya kuacha.Mwenye matatizo Ni wewe kubali kuachwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Miezi 11 sasa sijawahi kumtafta wala kumtext toka alisema tuwe marafiki. Nimekua kwenye mahusiano kadhaa ambayo mengne yaliharibika na mengne bado yapo.anahisi utamuharibia huanda bado una chochoko nae, kama ana mahusiano na mtu mpya anahisi utamtia kimavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hela mkuu dont be **** orientedHuyu mwanamke sijui anateseka au ana shida gani.
Aliniacha mwenyewe mwaka jana, nikajaribu kumbembeleza akakataa akasema nikubali tuwe marafiki tu vinginevyo nimsahau.
Kwa bahati nzuri au mbaya huyu binti aliwahi kunitambulisha kwa baba yake, baba yake tulikua tukiwasiliana mara moja moja, siku moja akanipigia tukaongea, akaniuliza tunaendeleaje, nimamwambia vizuri ila sio sana, akanisisitiza nimwambie kama kuna shida, nikamwambia tuko poa, baadae akampigia binti yake, wakaongea wanayoyajua, baadae binti yake akanipigia akasema nisiwasiliane na baba yake, nikakubaliana nae bila kinyongo.
Baada ya hapo sikuwahi kumpigia sim wala meseji, hata yeye hajawahi kunipigia wala kunitafta, ila alikua rafiki yangu facebook, instagram, twitter na kwingine.
Amekua akipakia picha zake insta story, naangalia bila shida, jana nikaona kapakia picha asubuhi, baadae sikuiona, nikamtafta sikuona hata jina lake, nikamtafta facebook, twitter na huko kwingine sikuona jina lake, nikajua kaniblock kila mahala.
Nashindwa kuelewa, sina ugomvi na yeye, aliniacha mwenyewe, ni miezi mingi sasa, sasa sijui amewaza au anateseka nini hadi kuniblock.
Katika maisha yangu huyu ndie mwanamke alieniacha(ofcourse sina tabia ya kuacha mwanamke labda aniache yeye) ambae ameniblock social media zote na ambae siwasiliani nae, wengine wote tunawasiliana kama kawaida hata kama wana watu wao na wengine wameolewa na wengine wakipata shida wanatuma invoice, kama naweza naiclear.
Kwa wale mnaowaelewa wanawake vizuri, Kwa huyu shida iko wapi wakuu?
Hahahah,, labda zile za kuwaonesha washkaji "mmemuona huyu, alikuwa shem wenu". Sasa ataonesha nn? Na lile sambwana halioni tenaUnateseka sana bobu, bado unampenda kwani?
Hapana mkuu. Sijateseka kwa lolote.Unateseka sana bobu, bado unampenda kwani?
Mkuu nina hela ya kutosha za kua na mwanamke yoyote ninaemtaka. Hilo halina shida.Tafuta hela mkuu dont be **** oriented
Why ushangae kifupi bado una muhitaji huyo ex wako na huo ndio ukweli nae ameligundua hilo soluhusho kakupa brock.Mkuu soma ujumbe wangu, sijawahi kukataa kuachwa maana hua sina tabia ya kuacha.
Ni miezi 11 sasa, nimeshangaa tu kwa nini afanye hayo sasa na sio huko nyuma.
Listen to urself. Ungekuwa na hela.hizo asingekuachaMkuu nina hela ya kutosha za kua na mwanamke yoyote ninaemtaka. Hilo halina shida.