Ex wangu aliniacha mwenyewe, sasa ananiblock mitandaoni.

Ex wangu aliniacha mwenyewe, sasa ananiblock mitandaoni.

Simhitaji kwa lolote mkuu. Ningemhitaji ningemtaka toka kipindi kile. Najua alikua na shida ya mtaji wa saloon na makeup studio ambao nilimnyima. Kama ningemtaka ningempa ili kumretain. Labda kukujulisha mgogoro ulianza aliponikuta na mwanamke mwingine. Unaweza kuelewa sasa.
Mkuu kubali kilicho tokea hakuna namna.
 
Kweli wengine ukipost kitu anaweza kujihisi Mara vile wengine wataka kukumbushia mechi. Pia naweza mpost bebe akiona atajiskia vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli pia watu wanashindwa kuelewa mke mtarajiwa/mume mtarajiwa/mume/mke huwa hawa-postiwi kwenye mitandao;Tofauti na hapo ni sawa na kujikaanga mwenyewe.
 
Kweli watu wanga balaa Mimi mpenzi wangu simpost hata mambo serious ni rahisi watu kuharibu. Hasa wakiona ndoa anaweza mtafta huyo mtu akuharibie makusudi kabisa
Ni kweli pia watu wanashindwa kuelewa mke mtarajiwa/mume mtarajiwa/mume/mke huwa hawa-postiwi kwenye mitandao;Tofauti na hapo ni sawa na kujikaanga mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu. Sijateseka kwa lolote.

Nashangaa kwa nini iwe sasa. Najiuliza tu baada ya kuacha kwa zaidi ya miezi 11 ndio aniblock
Yani hivyo kujiuliza na kushangaa ndo kuteseka kwenyewe ingekuwa huteseki hata uzi usingefungua.

Endelea na maisha mengine usiumize kichwa na mambo yaliyopita.
 
Huyu mwanamke sijui anateseka au ana shida gani.

Aliniacha mwenyewe mwaka jana, nikajaribu kumbembeleza akakataa akasema nikubali tuwe marafiki tu vinginevyo nimsahau.

Kwa bahati nzuri au mbaya huyu binti aliwahi kunitambulisha kwa baba yake, baba yake tulikua tukiwasiliana mara moja moja, siku moja akanipigia tukaongea, akaniuliza tunaendeleaje, nimamwambia vizuri ila sio sana, akanisisitiza nimwambie kama kuna shida, nikamwambia tuko poa, baadae akampigia binti yake, wakaongea wanayoyajua, baadae binti yake akanipigia akasema nisiwasiliane na baba yake, nikakubaliana nae bila kinyongo.

Baada ya hapo sikuwahi kumpigia sim wala meseji, hata yeye hajawahi kunipigia wala kunitafta, ila alikua rafiki yangu facebook, instagram, twitter na kwingine.

Amekua akipakia picha zake insta story, naangalia bila shida, jana nikaona kapakia picha asubuhi, baadae sikuiona, nikamtafta sikuona hata jina lake, nikamtafta facebook, twitter na huko kwingine sikuona jina lake, nikajua kaniblock kila mahala.

Nashindwa kuelewa, sina ugomvi na yeye, aliniacha mwenyewe, ni miezi mingi sasa, sasa sijui amewaza au anateseka nini hadi kuniblock.

Katika maisha yangu huyu ndie mwanamke alieniacha(ofcourse sina tabia ya kuacha mwanamke labda aniache yeye) ambae ameniblock social media zote na ambae siwasiliani nae, wengine wote tunawasiliana kama kawaida hata kama wana watu wao na wengine wameolewa na wengine wakipata shida wanatuma invoice, kama naweza naiclear.

Kwa wale mnaowaelewa wanawake vizuri, Kwa huyu shida iko wapi wakuu?
Dah cna cha maana cha kuchangia ila hapo kwenye invoice na ku clear nimepaelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom