Jumamosi nilipata mgeni binamu yangu kutoka Dodoma, ikabidi nimtoe out kubadilishana mawazo, tukiwa out nikakutana na ex-wangu.
Duu akanishangaa sana, mara ya mwisho kukutana naye miaka miwili, duu kumwona tuu akaanza kunimwagia masifa ooh umenawiri sana mambo yako safi.
Tutafutane aah ikabidi nimpange nitamtafuta, je inaashiria nini?