pendeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo. Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke. Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga. Mama Samia tukimtazama kwenye runinga...
  2. sky soldier

    Usilalamike huna mvuto, unapuuzwa au kuhisi nyota yako imechafuka, Kuwa msafi na uvae upendeze ndio dawa, usivae tu ilimradi, PENDEZA!

    Ohhh nikipita nikimsimamisha mtu ananipuuza/ Ohh nikiongea hata point ni kama vile sisikilizwi/ Ohh nahisi wameniibia nyota...n.k. Asilimia kubwa ya hawa watu huishia kutapeliwa na dawa za mvuto, huishia kutapeliwa nawaganga feki, huishia kuomba kwa Mungu kwa tatizo wanaloweza kulitatua wenyewe...
  3. V

    Pendeza na mapochi

    Karibuni mpache handbags nzuri mama zangu Bei 48000 Napatikana dar as salaam WhatsApp 0657710078 Delivery popote unapata
  4. V

    INAUZWA Wauzaji wa suti genuine kutoka Uturuki na Italy

    Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki Suti zetu ni slim body Size 32mpka 40 unapata Kwa bei ya Tsh 250,000 Utapata koti kizibao na suruali Tuko kariakoo Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Whatapp 0657710078
  5. M

    Ex-wako anapokusifia sana inaashiria nini jamani?

    Jumamosi nilipata mgeni binamu yangu kutoka Dodoma, ikabidi nimtoe out kubadilishana mawazo, tukiwa out nikakutana na ex-wangu. Duu akanishangaa sana, mara ya mwisho kukutana naye miaka miwili, duu kumwona tuu akaanza kunimwagia masifa ooh umenawiri sana mambo yako safi. Tutafutane aah ikabidi...
Back
Top Bottom