THAN0S
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 739
- 697
Waah ulikuwa umemuoa au ndo "baby come we stay"Aliondoka na offer letter yakiwanja. Asee nilikiuza fasta kwa jamaa ambae alikuwa anafahamu fika kile kiwanja ni Cha kwangu
Waah ulikuwa umemuoa au ndo "baby come we stay"Aliondoka na offer letter yakiwanja. Asee nilikiuza fasta kwa jamaa ambae alikuwa anafahamu fika kile kiwanja ni Cha kwangu
Ni wale wakuamia geto kidogo kidogo mwisho wa siku unashtukia ameweka makaziWaah ulikuwa umemuoa au ndo "baby come we stay"
Ni wale wakuamia geto kidogo kidogo mwisho wa siku unashtukia ameweka makazi
ndio, hutaki niogope?Aiseeeh.......