Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

popie

JF-Expert Member
May 28, 2016
675
500
Akiondoka na ukurasa wake unafungwa naanza upya hata kama ataondoka na hat ya kiwanja nitapata kingine
 

Perimeter

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,189
2,000
Picha zangu kwenye flash alafu nimekuja mdaka humu JF anatumia Profile picha zangu..namimi sina hiyana Natumia zake na ntakua nabadilisha kila wiki ajue kwamba namimi pia nnazo nyingi tu...
 
Top Bottom