Ndo huyu Husseinmbona atamkoma Demiss.Ebu afanye mpango wa kulipa pesa za watu
Nataka unipende Mimi....hutojutaMapenzi yangu. Kaniachia moyo wa kikauzu na mimi nataka kupenda tena
Angalia visikio vyake kama sungura
Haha Demiss anamtaja live bila kuficha duh ataelewa tuNdo huyu Husseinmbona atamkoma Demiss.Ebu afanye mpango wa kulipa pesa za watu
Hahahah mwenyewe tena acha tu sina hamu mm acheni tu niendelee kutapeli na mm labda hasira zitapungua
Dah nina hotpot kama tatu hivi za wadada, huyo mmoja baada ya kuachana miezi kadhaa iliyo pita.. Leo kanitumia sms kuwa anahitaji hotpot lake. Sijamjibu chochote..We afande B, rudisha kiredio changu na hot pot langu. Kukuletea msosi isiwe sababu ya kudhulumu vyombo vyangu
yaani umenivunja mbavu
Angalia visikio vyake kama sungura 😀😀😀
Anapumulia mashine!Unaishije
Haha ila jamaa kibobo laki nane za mwanamke ni nyingi mlivyo bahiri wa hela zenu.
We Demiss ukidanganya uwe na kumbukumbu, si ulisema hiyo laki nane uliyotapeliwa ilikuwa ya sofa? Usije kuwa nawe tapeli.Mm wa kwangu alisema anenda zanzibar alete sjui tv na redio yake wenyewe wanaitaje sijui mwaya nikaambiwa laki 8 nikaingia laini toka siku hiyo mpaka leo hapokei simu na zanzibar ikaishia hapoo ila nasema ipo siku yake yajaaa
Huyo Hassan kadoke kada wa fisiem Dodoma namlaani mpka kufaaaa
nipo APA Mumy nimekumic balaaa
Inshallah maa
Yaani Hussein alipo mbona shughuli imempata leo,dawa ya deni ni kulipa mfyuu,mie sipendi mijianaume inayopenda slope.Shenzzy zake
ila utapeli sio jambo zuri hasa kwa sisi wanaume kumtapeli mpenzi wako afu unakimbia duh sio jambo zuri hata kidogo
Kwahyo huyu ndo alipita na laki nane zako?do inabidi tukamsemehe kwa Katibu wake Dk.Bashiru ili azitoe tu mfyuu kada tapel hata apendezi.Utakuta kule jukwaa la siasa id yake ni ya Jingalao