kupasha kiporo? Aah wapi silagi vya jana napenda fresh
Kwahyo mtoa mada na wewe huwa unakumbushia?
Inawezekana unaletewa maradhi bila ya kujijua, kuwekini makini
aisee...retirement!
!
!
pele na maradona wamestaafu soka ila danadana wanapiga...after all kiporo hakihitaji moto mwiiingi
Wee 16himself moto ni moto tuu unaunguza