Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Mwambie na yeye akurudishie ulivyompa
 
Hivi bado kuna wanaume wa hivyo mpaka leo? au ulipewa na gari halafu kadi kabaki nayo?
 
Mimi nakushauri nenda karipoti polisi pia nyumba unayoishi tafuta ndugu wengine wakuishi nao usiishe peke yako itakuwa hatari kwako.HAkikisha nyumba unayoishi mko wengi na usisahau kuripoti polisi.
 
kwani wakati anakupa hivyo vitu, makubaliano yalikuwa ni nini?
 
Kakutumia au mmetumiana? nyie mademu wehu sana kudadadeki rudisha vitu vya mshikaji vyote! ulivyokuwa anakuletea na kusema ooooh! babe asaaante! i lv u so much n.k ulijua alitoa kamasi kuvipata?? rudisha ww sio mali yako hiyo mtafte mwingine umshobokee atakununulia vingine!
mademu wehu sana ndo maana mi huwagonga mara moko tu akinishobokea tena bila salaliii, akigutuka nasepa!!!
 
mwambie asubuli maumivu, kama ni gari na ulikuwa unatamba basi jizoeze kupanda daladala mapema. Nashauri kama ni gari, peleka kwa mafundi wachakachue spea umpe kikiwa hovyo. Nawe uwe unapeleleza, sio unadandia li mme ata kama kwao wana magonjwa ya kurithi
 
Hii siyo haki brother don't generalise, ni ushamba uliopitiliza kumdai demu gift ulizompa, labda kama ulikuwa msanii ukampa gari na kadi ukabaki nayo basi ukidai akurudishie poa tu kwa sababu gari bado ni yako lakini gadgets zingine kudai ni ushamba.

Adai na pocket money alizokuwa anampa kama yeye ni bingwa wa kudai.
 

hakunipa gari na sikujua ana mke na hiyo ndo sababu ya kumuacha
 

hakunipa gari anadai pesa zake
 
Hiyo pala ya mwisho imebeba ujumbe mzito sana.
 
Mimi nakushauri nenda karipoti polisi pia nyumba unayoishi tafuta ndugu wengine wakuishi nao usiishe peke yako itakuwa hatari kwako.HAkikisha nyumba unayoishi mko wengi na usisahau kuripoti polisi.

sina mtu yoyote ninae ishi nae n wala siwezi kumpata ni mtu mwenye kufahamiana na polis
 
Waswahli wanasema pesa hutaftwa ila sio uhai.kurport polis sio tatizo anaweza kukudhuru kwa njia yeyote midhali anakinyongo nawewe.sasa maamuzi yapo kwako.kama unaiman kua hutapata vitu vingine kamahivyo endelea kuvizui ila kama unajua mungu ndie mtoaji mpe uwe huru.angalia uhai wako na mali ulizoazimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…