The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,410
Wanawake...
Hahahaaaa!! nani huyo?Kumbe wewe ni ke.??
Kama vipi, mpe ale bila kupasha..!!! kwani shingngapi banaa...!!!!??Habari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.
Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.
Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.
Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.
Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?
Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
Mpe tgoHabari wana jamii?

Kwa sababu ya matatizo yangu ya kifamilia mkuu. Ingawa tulipendana na kusaidiana sana.Huna future naye sababu umri umekaribiana?
Ni sawa na ktembea na muwa kama fimbo, utautafuna tu. Hata wewe unataka hapa unavunga tu kama walivyo wadada na kawaida yao ya kuvunga kwanza. Urafiki gani wa kawaidaHabari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.
Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.
Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.
Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.
Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?
Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
Ukitaka kula na wewe uliwe japo kidogo. Sasa we unataka kula tu we usiliwe?!! Si maneno yangu bali ya Mstaafu mmoja ninae muheshimu sana.Niliumwa mkuu, sikua na mtu mwingine wa kunisaidia zaidi yake. Alinipeleka hospitali usiku wa saa sita.
Tafakari kwenye kicha chako kitu gan hasa wahitaji kwake, km ni mapenz muweke wazi na jinsi gan wataka yeye awe na km ni urafik bhac muweke wazi pia.Habari wana jamii?