Ex anasumbua sana...

Ex anasumbua sana...

Kwa hiyo hata yeye kitaka urafiki nami ni kwa ajili ya kunitumia?
Kwan ww haumtumii, mnatumiana! Na ww unamchakaza mwenzio wakti wa tendo usiwe selfish kwamba yeye ndo mfaidikaji ilihal ww ndio unagain 75% watalaam wanasema
 
Hapana mkuu, tulitoka nae mbali, akanikosea sana ndipo tukaachana, lakini aliniomba msamaha na kutaka tuwe marafiki, nilifurahia urafiki wa kawaida kuliko kua mpenzi wake. Ninachotaka ni yeye kua kaka yangu kabisa na asinione kama demu anayeweza kumtafuna.
Wewe ungekuwa mwanaume ungeuweza huu mtihanii wa kutoa bila kupokea?
 
Habari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.

Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.

Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.

Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.

Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?

Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
Maelezo meeeeengi
 
Kama unapenda kampani yake kuwa tayari na hayo.
Kwa sisi wanaume wa bara hiyo tunaita kushikishwa pembe mkamuaji mwingine na ni tusi kubwa.
 
MPE anachokitaka urafiki urudii ama LA mwache aende kwenye utatu wake
 
Unampenda na unamtaka bado. Urafiki gani na ex wako!!!
Unataka kumpa ila nafsi inakusuta hivyo unataka tukwambie mpe tu ili uone ufanyacho ni sahihi. We fuata kile moyo wako unataka ila usiache kushirikisha ubongo wako.
 
Mpe,me mwenyewe bidada ex amenibana balaa et nimemic unavonitmbg .Sema nimpa tu sio issue kumnyima
 
Leo umekuwa ke? Hakika jamii forums ni Msitu mnene
 
Waswahilili wanasema ukila nanasi tunda lingine basi
 
Habari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.

Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.

Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.

Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.

Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?

Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
Unampenda yeye kama rafiki au unapenda misaada yake ya hapa na pale

Uzoefu unaonesha Ma Ex hawajawahi kuwa marafiki bila kufanya X
 
ex are meant to be ex..vut communication...kuendekeza mahusiano ni katana kupasha kidogo.
 
Back
Top Bottom