Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,215
Mimi nafundishika. We can be tamed ... After all we dogs right 🙂Kama akiamua kumsamehe na kuhangaika naye kwenye Tiba za kila Aina..Atoe Sadaka lakini asitegemee kuwa anatenda wema Kwamba Akipona ndo atampenda zaidi kwa wema wake...
Ukitoa msaada waina yotote ile Tarajia malipo.kwa Mungu..
Upendo haununuliwi Wala mwanaume hafundishwi kupenda.
Ninachoamini different strokes for different folks.. and you will never know until you have tried.
We are only happy because we got hopes. Hakuna anayejua kesho ya kila kitu.. Kama moyoni anajua and she is willing to commit and try.. Take care of him and love him.. nasema amina.
If goes back to his ways.. ndio wahenga wanatuambia tenda wema na uende zako 😀
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app


