Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
Oppotyunistiki😂😂😂Achana nae huyo mambo yameshamuharibikia,karibu kwangu please,karibu PM
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Oppotyunistiki😂😂😂Achana nae huyo mambo yameshamuharibikia,karibu kwangu please,karibu PM
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
LabdaHapana siwezi kufanya huu ujinga, labda hakuna aliyenikaa moyoni
Jamaa itakuwa sababu ya kurudi kwa Ex wake, anahisi walivyoachana demu alimrogaHiii nikweli KABISA.... nainatokea kabisa.
Lakini hili Sio Tatizo la Huyu mwanaume.
Huyu mwanaume ameshakuwa mgonjwa
Amini Kwamba huyo mwanaume mpaka kuja kwa Ex... Kazunguka Sana kwa WADADA Tofauti Tofauti ili ajue Tatizo lake.
Kunawanaume wanakuwa hawana pesa hiyo Hali yakutosimamisha au mboo kulala hutokea.. lakini sio kusinyaa na kurudi kuwa Kama ya mtoto...au kurudi ndani




Demu nae atakuwa stressed some how.Huyu naye kama nikama amekwama ndiyo maana anakubali kuwa plan B,miaka 2 bila mawasiliano unaitwa faster tu unakubali kuvuliwa nguo? Hutaki hata kupima,hujui alipita wapi na wapi,au kuonyesha kamsimamo kidogo,wanawake muwe na kaakili ka ziada kidogo kwenye issue za mahusiano......ila mam ni 35+ sikulaumu na kila la heri kwenye kufufua penzi lililozimia 2yrs
Sasa mkuu, wewe umethibitisha vipi kama kweli kijana hanyooshi fimbo ya susa..??Mkuuu...hilo Tatizo huyo hakuwa analia chozi laungo... Huyo amefikwa na MTIHANi haswa.
Kama bado unampenda kaa nae umsaidie, unaweza kuitwa cheap lakini katika maisha ya mahusiano kila mtu ana udhaifu wake, huenda bado unampenda huyo jamaa na ndio maana ukakubali hata kuingia room japo ilitakiwa mkae chini kwanza muongee mambo ya msingi kuhusu ninyi wawili.Sawa sitarudia tena kua cheap
Sio lazima asaidie ili apendwe au aolewe. Anaweza saidia tu akamwacha aende akiwa mzima. Nanii yako ikianza kutoa harufu mfululizo unadhani atakayekusaidia ni mumeo au unayempenda tu? Anaweza tokea mtu ambaye wala humtaki au ulimkataa akakupa njia na ukipona ukarudi kwa mumeo au mpenzi ambaye hakuwa na namna ya kukusaidia.Amsaidie Nini ..huyo mwanaume angekuwa mzima Wala asingemkumbuka huyo Dada..kwanini abebe mizigo ya huyo mpuuzi...Uangaike na madawa apone na bado akuache kwakua hakuwai kukupenda Tangu mwanzo.
Kumsaidia mtu katika matatizo yake especially male Sio guarantee kuwa eti atakujali nakukupenda...No
Umekuwa lini mwanaume mkuu? Kitu kidogo tu kinamuathiri mwanaume kwa kiwango kikubwa sana, hasa hilo la ugumu wa maisha, asikwambie mtu.Mkuuu...umasikini na matatizo hayajaanza leo.. ingekuwa wanaume wakiwa hawana kazi . Nawatoto hawana chakula wanakuwa hawasimamishi...Sijui Kama ungeona sisi masikini tunazaliana Sana...
Huyo anashida labda anaumwa au Mambo ya kidunia...
Lakini ugumu wa maisha haulalishi.. mbooo...hata siku moja, anaweza akawa hajisikii kushirikiana lakini Kwamba mboo imerudi kuwa Kama ya mtoto na imesinyaaa eti kisa ugumu wa maisha...Duuuh
GenyeYan kwl wanawake mnashida.. yan mtu mlishaachana miaka mingi iliyopita, leo hii anakujia kirahis hivyo tena kwa mara ya kwanza mnaonana unakuw tayar kulala naye??, Nikupe pole tu kw kwel.. wanawake mnakuw rahisi hivyo kwann.
Exactly! Mashine kusimama kuna mambo mengi wanawake wanafikiri mwanaume akishaona papuchi tu baas mashine itasimama hapo hapo. Kama akili haijakaa sawa, mwanamke anaweza kuvua nguo akakaa hapo na mashine isisimame ng'o! Ila hii haimaanishi kwamba mtu ni mgonjwa, ni hali tu ya muda.
Kuishi kwingi kuona mengi 🤣🤣Jaman nilichokiona Mungu ndo anaejua maana sijawahi kuona kuanzia nazaliwa maumbile ya mtu mzima yasinyae yawe kama ya mtoto mchanga tena yamelegea haswa
Kuishi kwingi kuona mengi![]()




Dah pole yake mshauri arudi kwenye ibada na kusali Sana, naona ataacha uzinzi wake. Na aache kulia liaAmeshaathirika kisaikolojia analia yupo kama chizi anaongea mwenyewe
Nani Yangu ikitoa harufu...nikaja kwako nikawambia nanii Yangu inatoa harufu ukaniambia nenda kwa Gynacologist mmoja mtaalamu atakusaidia ..sawa..Sio useme hebu nihakikishe then ntakusaidia.Sio lazima asaidie ili apendwe au aolewe. Anaweza saidia tu akamwacha aende akiwa mzima. Nanii yako ikianza kutoa harufu mfululizo unadhani atakayekusaidia ni mumeo au unayempenda tu? Anaweza tokea mtu ambaye wala humtaki au ulimkataa akakupa njia na ukipona ukarudi kwa mumeo au mpenzi ambaye hakuwa na namna ya kukusaidia.
Jamaa itakuwa sababu ya kurudi kwa Ex wake, anahisi walivyoachana demu alimroga
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app



...kweli mkuuu ANAHAHA mwanaume masikini.Limbwata hyo....kisukari angeshaamza dozi Hosp...ila yuko dillema, hajui sababu ....Alikua anataka kujua Kama uume wake haufanyi kazi.kwa.mkewe au mpnz wake TU au kwa watu wote.
Mwambie apime kisukari...anaweza kuwa Anaiyo shida.