Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,734
Ndio maana unakosa furaha ya roho,punguza visasi...na hasira kwa waliokuuudhi....Amsaidie Nini ..huyo mwanaume angekuwa mzima Wala asingemkumbuka huyo Dada..kwanini abebe mizigo ya huyo mpuuzi...Uangaike na madawa apone na bado akuache kwakua hakuwai kukupenda Tangu mwanzo.
Kumsaidia mtu katika matatizo yake especially male Sio guarantee kuwa eti atakujali nakukupenda...No
Sometimes destiny finds itself...


