Sijashadadia matatizo yake ndo maana nimekuja kuomba msaada nimsaidie vipi ili awe sawa
Nipo pouwa kabisa ..Mkuu AlhamdulihaMs CreditAnalyst unaendeleaje?
Mkuuu...hilo Tatizo huyo hakuwa analia chozi laungo... Huyo amefikwa na MTIHANi haswa.Tuna machozi ya ukweli na machozi ya uongo...
Wewe dada ukaitwa room ukaingia? Huu ni udhaifu no 1.
Usirudie nasema usirudie kuwa cheap kiasi hiki tena.
Mwanamke ana option moja ya kumrudia x wake Ni pale x anapojirudi akataka muendelee kwa maisha ya kuishi wote kama wanandoa na sio kuja kukulala tu.
Mkuu...Hakuna sehemu Mungu kasema saidia walionashida ili wakipata wakusaidie..unasaidia kwa kuwa unauwezo wakusaidie na Wema wako utakuta kwa Mungu..Wengi humu wanakushauri ulipize kisasi wanakupotosha.
Kuna mambo mawili hapa kumsaidia tatizo lake kibinadamu kama unavyoweza kumsaidia yeyote tofauti hapa ni kuwa huyo mliwahi kuwa na mahusiano. Pili kuamua kurudiana naye au la. Kama una uwezo wa kumsaidia hata ushauri tu akapona msaidie usiangalie mliachanaje. Jaribu kufikiri unaweza kumchukua ndugu ukamsomesha tangu primary hadi chuo kikuu na asikujue wewe wala watoto wako asiwasaidie lakini hatuachi kusaidia. Akipona sasa sio lazima urudiane naye ingawa pia unaweza kurudiana naye kama utapenda. Hivyo usichanganye issues mbili hizi ambazo ni tofauti.
Huyo jamaa inaweza kuwa alujiunga na CHAPUTA hivyo imemuathiri.
Usifuate ushauri wa kulipiza kisasi, hiyo ni kazi ya Mwenyezi Mungu.
Mkuuu...hilo Tatizo huyo hakuwa analia chozi laungo... Huyo amefikwa na MTIHANi haswa.
Great to hear kama upo poa kabisaNipo pouwa kabisa ..Mkuu Alhamduliha
Mkuuu...umasikini na matatizo hayajaanza leo.. ingekuwa wanaume wakiwa hawana kazi . Nawatoto hawana chakula wanakuwa hawasimamishi...Sijui Kama ungeona sisi masikini tunazaliana Sana...Mkuu CA usiongee kama wale waganga wa kienyeji. Amin nakuambia, kwa hali hii ya uchumi wa sasa, na hivi tunaelekea mwisho wa mwaka, huku kuna wanafunzi wa vyuo wanafungua, krismasi inakuja, mwaka mpya wa masomo watoto wanataka ada, kodi za nyumba zinaishia nk na hapo ukute huyo jamaa labda yupo kwenye sekta ya utalii au hizi sekta zilizoathirika ambapo mshahara mpaka leo wanapokea nusu nusu au wanakopwa... huo uume unapata wapi nguvu za kusimama?? Mi nadhani ampe muda tu haya mambo yatajiseti yenyewe.
Mashine kugoma huwa inatokea (kwangu si kitu ngeni) kuna sababu mbalimbali kama vile kisaikolojia , kuchezewa , mshtuko ...mimi sometimes inalala ndani ya papuchi hasa nikichepuka.Wewe dada ukaitwa room ukaingia? Huu ni udhaifu no 1.
Usirudie nasema usirudie kuwa cheap kiasi hiki tena.
Mwanamke ana option moja ya kumrudia x wake Ni pale x anapojirudi akataka muendelee kwa maisha ya kuishi wote kama wanandoa na sio kuja kukulala tu.
Sorry mkuu, we una mboo?Mkuuu...umasikini na matatizo hayajaanza leo.. ingekuwa wanaume wakiwa hawana kazi . Nawatoto hawana chakula wanakuwa hawasimamishi...Sijui Kama ungeona sisi masikini tunazaliana Sana...
Huyo anashida labda anaumwa au Mambo ya kidunia...
Lakini ugumu wa maisha haulalishi.. mbooo...hata siku moja, anaweza akawa hajisikii kushirikiana lakini Kwamba mboo imerudi kuwa Kama ya mtoto na imesinyaaa eti kisa ugumu wa maisha...Duuuh
Wengi wanarudi kwa maX..ndo maana Hilo Mimi sijalishadadia... Shida Ni huyo mwanaume kurudi akiwa na erectile disfanction alafu Huyu Dada anaanza hangaika na matatizo yake anayabeba Kama Ni mtu ambae NI WAMUHIMU KWAKWE.Wadada wengi mnamponda huyu mwenzenu lakini kiuhalisia nna uhakika nyie wenyewe mkiitwa na ma x wenu.... wale hasa waliokua wamewakaa moyoni, mtaruka na kukimbia mbio kali sana kuwahi huko loji.
Mkuu...Sina mbooo, ila Kama mboo yako hua inasinyaa nakuwa Kama ya mtoto ukipata mawazo... Basi Tena... Mda wako was kugegeda unakaribia kuisha.... Maana mboo ya mtoto nikiiangaliaSorry mkuu, we una mboo?
Hapana siwezi kufanya huu ujinga, labda hakuna aliyenikaa moyoniWadada wengi mnamponda huyu mwenzenu lakini kiuhalisia nna uhakika nyie wenyewe mkiitwa na ma x wenu.... wale hasa waliokua wamewakaa moyoni, mtaruka na kukimbia mbio kali sana kuwahi huko loji.
Exactly! Mashine kusimama kuna mambo mengi wanawake wanafikiri mwanaume akishaona papuchi tu baas mashine itasimama hapo hapo. Kama akili haijakaa sawa, mwanamke anaweza kuvua nguo akakaa hapo na mashine isisimame ng'o! Ila hii haimaanishi kwamba mtu ni mgonjwa, ni hali tu ya muda.Mashine kugoma huwa inatokea (kwangu si kitu ngeni) kuna sababu mbalimbali kama vile kisaikolojia , kuchezewa , mshtuko ...mimi sometimes inalala ndani ya papuchi hasa nikichepuka.
Huyo demu bado anampenda jamaa halafu na yeye hana mtu
Huyu naye kama nikama amekwama ndiyo maana anakubali kuwa plan B,miaka 2 bila mawasiliano unaitwa faster tu unakubali kuvuliwa nguo? Hutaki hata kupima,hujui alipita wapi na wapi,au kuonyesha kamsimamo kidogo,wanawake muwe na kaakili ka ziada kidogo kwenye issue za mahusiano......ila mam ni 35+ sikulaumu na kila la heri kwenye kufufua penzi lililozimia 2yrsEndelea na life lako bi dada. Kupanga nu kuchagua, usikubali kuwa option.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hiii nikweli KABISA.... nainatokea kabisa.Exactly! Mashine kusimama kuna mambo mengi wanawake wanafikiri mwanaume akishaona papuchi tu baas mashine itasimama hapo hapo. Kama akili haijakaa sawa, mwanamke anaweza kuvua nguo akakaa hapo na mashine isisimame ng'o! Ila hii haimaanishi kwamba mtu ni mgonjwa, ni hali tu ya muda.
Sio tu kusinyaa, kuna wakati inaweza kupotea kabisa hata ukiitafuta huioni!😆Mkuu...Sina mbooo, ila Kama mboo yako hua inasinyaa nakuwa Kama ya mtoto ukipata mawazo... Basi Tena... Mda wako was kugegeda unakaribia kuisha.... Maana mboo ya mtoto nikiiangalia
Sio tu kusinyaa, kuna wakati inaweza kupotea kabisa hata ukiitafuta huioni!
Olu in olu nnachosema ni kwamba, tusi rule out possibility ya kwamba huyu jamaa huenda haumwi ila ana matatizo mengine tu ya kidunia. Tatizo ukishaanza kuhisi unaumwa, ndio mwanzo wa kuanza kuhangaika kwa waganga ambapo badala ya kutatua tatizo unajikuta unaongeza matatizo zaidi. Ndio maana nimeshauri atulize akili kwanza atatue hizo changamoto za kimaisha (kama zipo). Kwenda hospitali ni hatua ya mwisho kabisa
Hiii nikweli KABISA.... nainatokea kabisa.
Lakini hili Sio Tatizo la Huyu mwanaume.
Huyu mwanaume ameshakuwa mgonjwa
Amini Kwamba huyo mwanaume mpaka kuja kwa Ex... Kazunguka Sana kwa WADADA Tofauti Tofauti ili ajue Tatizo lake.