mkuu huyu mleta maada ninavyoona ni kam vile anafikiria kwa kutumia masaburi. Yaani haelewi ila anakurupuka tu, sijui kalewa mbege? Aggghhhh!!! nashindwa hata kumjaji.
Mkuu mtoa mada ingekuwa vyema kama ungeainisha kwamba ni kwa kiasi gani kwa mfano walikosea kukokotoa kwa takwimu angalau mbili tatu hivi hii ingetufaa sana, heshima kwako na wapenda nchi wote.
Nilishatoa maada kama hii, ikiwa na jina TRA<EWURA<TBS etc ndio chanzo cha bei kupanda, nikaweka template na wengine nimewatumia kwenye email zao, watu wakasema, nimetumwa na wauza mafuta.
just search that tittle, utaona namna bei ya mafuta inavyopatikana utajua nani chanzo
mtoa mada una uhakika kwamba wameridhia? bei hizo mpya za wk ijayo umeziona wapi? kama ungesikiliza kipima joto itv jana ungeelewa usanii wa wauza mafuta kwenye demurrage charges. ungeelewa kuwa hata sasa kwa kanuni hii mpya ewura ingetakiwa kubana tena kwenye hizo charges. with the current formula the determinant factors ni bei kwenye soko la dunia na exchange rate ya dola vs tshs.

Jana nimesikiliza kipima joto, na hawakuweka mtu wa mafuta, Hansi nimsafirishaji wa mafuta na sio muuza mafuta, muuza mafuta hawezi kwenda pale, kwani wa Engen aliwakilisha Association ya wauza mafuta akaonekana yeye kichwa maji,

EWURA walidanganya wananchi kuwa kuna meli zinatafuta wanaonunua mafuta, rafiki yangu huo ni udhushi tena si kidogo, Ukumbuke kuleta, meli Tanzania is very risk, ukizingatia wasomali wametanda pale kati, Isitoshe ili uweze kupata mafuta yafuatayo yanatokea,

1. Lazima upeleke dhamana ya Benki,

2. Uingie Mkataba wa kukopeshwa kwani huwezi lipia mafuta kabla hujayauza, is very expensive

3. Hakuna Muagizaji anayeweza agiza meli yake peke yake, kwani zinasheheni mzigo mkubwa sana

4. Prior agreement and negotiations

Wangeniita ningeweza waonyesha actual template.

MSIDANGANYIKE KAMA WATOTO

Kama huamini bei itapanda wiki ijayo basi subiri si zimebaki siku chache tuu

Ni ukweli usiofichika kwa wale wote watalaamu wa Costing, kuwa EWURA waliishauri vibaya serikali na kusababisha wananchi kuteseka bila mafuta, Mgomaji wa kwanza ni serikali yenyewe kupitia kampuni yake ya BP ambayo inamilikiwa na serikali pamoja na PUMA Energy asilimia 50 kwa 50.
EWURA walikosea makadirio ya Demmurrage charges, na kutaka kwa wauza mafuta wauze chini ya gharama ambazo hata kichaa hawezi kuuza kwa bei hiyo, matokeo yake watu tumeuziwa uchafu wa mafuta na sio mafuta tena kwa bei mara 3 ya bei ya kawaida, tumefedheheshwa, tumeshuka kiuchumi, na hata wengine kukosana na wakubwa wetu wa kazi.
SERIKALI IFANYE UCHUNGUZI NA ITAKAPO BAINI MWENYE HATIA AFUNGWE KWA HESHIMA YA NCHI, EWURA WATAFUTE WATAALAMU NA SIO VIJANA AMBAO WANA ELIMU ZA KU-UNGA UNGA, NA KUTULETEA KERO.
WAKISHINDWA WAWACHUKUE VIJANA KWENYE MAKAMPUNI BINAFSI, TUPO WENGI.
KATONGO ACCOUNTS SERVICES
katongo2002@gmail.com
Watanzania wenzangu acheni kudanganywa na watu ambao nadhani hata hesabu za logic na algebra ambazo ndio hesabu rahisi sana hawazijui.Jana nimesikiliza kipima joto, na hawakuweka mtu wa mafuta, Hansi nimsafirishaji wa mafuta na sio muuza mafuta, muuza mafuta hawezi kwenda pale, kwani wa Engen aliwakilisha Association ya wauza mafuta akaonekana yeye kichwa maji.
EWURA walidanganya wananchi kuwa kuna meli zinatafuta wanaonunua mafuta, rafiki yangu huo ni udhushi tena si kidogo, Ukumbuke kuleta, meli Tanzania is very risk, ukizingatia wasomali wametanda pale kati, Isitoshe ili uweze kupata mafuta yafuatayo yanatokea:
1. Lazima upeleke dhamana ya Benki,
2. Uingie Mkataba wa kukopeshwa kwani huwezi lipia mafuta kabla hujayauza, is very expensive
3. Hakuna Muagizaji anayeweza agiza meli yake peke yake, kwani zinasheheni mzigo mkubwa sana
4. Prior agreement and negotiations
Wangeniita ningeweza waonyesha actual template.
MSIDANGANYIKE KAMA WATOTO
Mkuu hasira zako zinaonekana kupoteza maana ya arguement yako, unaonaje ukirekebisha in red au na wewe ni mhasibu wa kampuni za kiarabu tu za kuridhi kutoka kwa akina babuNi ukweli usiofichika kwa wale wote watalaamu wa Costing, kuwa EWURA waliishauri vibaya serikali na kusababisha wananchi kuteseka bila mafuta, Mgomaji wa kwanza ni serikali yenyewe kupitia kampuni yake ya BP ambayo inamilikiwa na serikali pamoja na PUMA Energy asilimia 50 kwa 50.
EWURA walikosea makadirio ya Demmurrage charges, na kutaka kwa wauza mafuta wauze chini ya gharama ambazo hata kichaa hawezi kuuza kwa bei hiyo, matokeo yake watu tumeuziwa uchafu wa mafuta na sio mafuta tena kwa bei mara 3 ya bei ya kawaida, tumefedheheshwa, tumeshuka kiuchumi, na hata wengine kukosana na wakubwa wetu wa kazi.
SERIKALI IFANYE UCHUNGUZI NA ITAKAPO BAINI MWENYE HATIA AFUNGWE KWA HESHIMA YA NCHI, EWURA WATAFUTE WATAALAMU NA SIO VIJANA AMBAO WANA ELIMU ZA KU-UNGA UNGA, NA KUTULETEA KERO.
WAKISHINDWA WAWACHUKUE VIJANA KWENYE MAKAMPUNI BINAFSI, TUPO WENGI.
Rafiki tatizo hapa ni serikali iliyotaka kupata credit kwa kushusha bei ya mafuta haraka bila kujadiliana na waagizaji wa mafuta. Kwenye hili swala la kushusha mafuta tunasikia tu upande mmoja wa EWURA wakitaka makampuni yatekeleze amri ya kushusha mafuta. Haiwezekani makampuni yote yakagoma kushusha bei wote. Kuna tatizo hapa.bei inaweza kupanda yes . i have no prob with that! kitakachopandisha ni either prices kwenye world market or kuporomoka kwa sh yetu period! sio kwamba ewura wameriview template ya bei na kurekebisha swala demurage. kubadilisha template ya bei sio issue ya siku 2-it is a process inayofuta rules. nenda website ya ewura usome uelewe. hiyo costing unayoitaka ww ni ya kujumlisha gharama