Tukiwa kwenye malumbano yasiyo na maana mara zitto, mara mbowe kaenda dubai mara mkuu wakaya kaenda pima maradhi,.
Serikali ovu ya chama cha mapinduzi imeruhusu upandandaji wa bei ya gesi,.
Bei hizo zimepanda toka
-mtungi 6kg zamani 22000 bei ya sasa ni 26000
- mtungi 15kg zamani 54000 sasa ni 64000:
je serikari inampango kweli wa kupunguza uharibifu wa mazingira kwa kupunguza matumizi ya mkaa nakuni.???
Kwani baada ya CCM kuiruhusu kutoka Mtwara, kuna unafuu wowote? Mbona mvivu wa kufikiri wewe?chadema mlisema gas isitoke mtwara mpaka watu wapate elimv leo mnalia.pikien kuni
Jamani hv hawa ewura wanatumia vigezo gani kupandisha bei za gas. Kutoka Tsh.54000 hadi Tsh. 63000 jamani kwa maisha haya elfu tisa mzima kweli hii nihaki?
chadema mlisema gas isitoke mtwara mpaka watu wapate elimv leo mnalia.pikien kuni
Hata mimi imenikuta leo mchana orxy ni 64000 Alf mihani 54000 sasa nimeshangaa kwa nini mihani iwe 54000?
Kila kitu kinapanda maisha haya magumu jamani
Kwenye red! Lini waliwahi kufikiri?Tunatakiwa kuwatoa walioko madarakani sasa na kuwaweka wenye fikra tofauti maana walioko sasa wamefika mwisho wa kufikiri. Anahitajika mtu jasiri atakaye waamsha wananchi na kuanza kudai haki zao. Wiki chache zilizopita bei ya mkate ilipanda nchini Brazil, wananchi waliandamana sana, serikali ikashusha bei. Sisi hapa Tz bei za vitu zinapanda hovyohovyo tu wananchi tunaugulia chini kwa chini. Inabidi sasa wananchi tuseme inatosha.
Jamani hv hawa ewura wanatumia vigezo gani kupandisha bei za gas. Kutoka Tsh.54000 hadi Tsh. 63000 jamani kwa maisha haya elfu tisa mzima kweli hii nihaki?
Mbali ya bei, hivi kuna tofauti gani kati ya Oryx na Mihan au hata CAM na lakegas>>>>????Juzi kuna mtu aliuliza hapa kama kaibiwa au ndio bei zake.
Sote tukwamwambia kuwa kaibiwa coz bei ya gas kg 15 ni elfu 54.
Kumbe wamepandisha bei bila taarifa. Tena si mpandisho mdogo.
Mimi leo nineenda kununua Oryx imenishinda eti bei elfu 65, imebidi nigeukie kwenye mihan ninenunua kwa elfu 54 sasa sijui tena kama yafaa au haifai.
Mradi majanga.
Juzi kuna mtu aliuliza hapa kama kaibiwa au ndio bei zake.

Mbali ya bei, hivi kuna tofauti gani kati ya Oryx na Mihan au hata CAM na lakegas>>>>????
hebu nielimishe kidogo,naweza kutumia mtungi wa oryx kujaza wa mihani?natumia oryx but naona bei inanishinda sasa,je nikipeleka mtungi huo empty,naweza kupewa wa mihan?
Mkuu hakuna Gas nzuri kama Mihan,mwanzoni nilikua natumia orxy but jamaa nilipokuwa nanunua akanishauri niende kujaribu Mihan nikachukua,ni nzuri sana sababu ina ujazo uliokamilika,moto wake ni mzuri kuliko orxy na inadumu sana kuliko oxry,try it Mkuu.