wafanyabiashara wanaweza kuwa sahihi kwani hawawezi kuuza old stock waliyonunua bei juu kwa bei mpya ndogo.sasa hapo ewura wanachemsha sio kutoa toa takwimu zisizowezekana
mbona kwenye kupandisha bei hawagomi kuwa hadi stock iishe?. Wafanyabiashara si wa kutetea kabisa, kushuka na kupanda kwa bei ni mambo ambayo yanajulikana. Si kila siku wategemee faida, kuna kipindi watapoteza pia.
mkuu jibu ni fupi,ukiuza kwa hasara who will compesate?mbona kwenye kupandisha bei hawagomi kuwa hadi stock iishe?. Wafanyabiashara si wa kutetea kabisa, kushuka na kupanda kwa bei ni mambo ambayo yanajulikana. Si kila siku wategemee faida, kuna kipindi watapoteza pia.