Eweee mola wangu nisamehe sikuwa najua kabisa

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Ikiwa zimebaki siku Tano twende kwenye mfungo ...halafu mtu ukavunja jungu kumbe funga haikubalikiwallah sikua najua je? Kuna namna yoyote naweza kufanya nikakubaliwa funga yangu kwa mujibu wa vitabu?
 
Kuvunja jungu ni kufanya nini?
Mkuu nimegoogle nimejibiwa kuwa ni kitendo cha wale wanaotarajia kufunga kufanya vile vitu ambavyo si halali kutenda wakati wa funga yao kuvifanya ili kufidia siku ambazo atavikosa wakatoa mifano

Kwa hivyo basi, vunja jungu kwa mlevi ni kulewa sana kwani hataipata fursa hiyo tena ila baada ya kumalizika kwa mwezi wa Ramadhani.

Vunja jungu kwa mzinifu ni kuzini sana na kutengana na kimada wake kuipisha Ramadhani, kisha mchezo uendelee baada ya Ramadhani. Vunja jungu kwa mpenzi wa muziki ni kukesha katika kumbi za starehe akicheza na kunywa kufidia ile fursa atakayoikosa kwa sababu ya kuingia kwa mwezi mtukufu.
 
Daaah basi watz wote leo tumevunjishwa jungu na zuchu
 
Aahaaaaa,kumbe ndio maana ya kuvunja jungu,
 
Sasa itakuwaje jamani mi mbea nataka niwaletee habari ya moto wadau wangu siku chache kabla ya Ramadhan!
 
Kuvunja jungu sielewi ni nini!

Jiunge na group la watsapp, Faidika na Mawaidha la Ibaadhi

Au pitia account ya Rashid Alshukery huyu pia ni Muibaadhi, utapata majibu yako
 
Sasa itakuwaje jamani mi mbea nataka niwaletee habari ya moto wadau wangu siku chache kabla ya Ramadhan!

Tumcheni Allah S.W

وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَعِبٌ وَلَهْوٌ ۖ وَلَلدَّارُ الْآخِرَةُ خَيْرٌ لِلَّذِينَ يَتَّقُونَ ۗ أَفَلَا تَعْقِلُونَ
6:32 Al-An'am (The Cattle)
Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom