just-imagine
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 374
- 449
Kama kuna msichana yoyote aliye tayari nimtoe "out" leo kwenda Dar-live kwenye show ya Diamond-plutnumz...ani PM ...kiingilio ni juu yangu pamoja na vinywaji ntagharamia.....hii ni zawadi yangu ya X-mass kwa wana MMU....karibuni