Ewe Mgeni unayetembelea tanzania.......

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,240
4,263
Naomba kukutaarifu mgeni kutoka afrika mashariki unayetembelea tanzania na unakifahamu kiswahili kiasi, ukisoma gazeti ukakuta neno bashite, fahamu kwamba hayo si madini ila ni jina la mtu!
 
Back
Top Bottom