Ewe kijana

Unakuta mtu yeye mwenyewe hawajawa na uwezo wa kujihudumia kwa uhakika.. anajichanganya kwenda hudumia mshangazi lazima ikwishe
Umemaliza kila kitu bwashee
 
Reactions: Oho
General hapa bwa shee,,ukirudi bongo na ukawa umesogea kanda ya kati usisite kunicheki..tukachome mbuzi na bia bwa she
Unamjua madam kibore now ni professor kibore?
 
Ukiingia kwenye mfumo wa kuitwa kuhudumia na bado haujajipata kipesa ,umekwisha 🤗.....
Ni mwendo wa buckets na makali ya kila aina na shisha mezani, huwambii kitu. Na pisi mbili tatu za kuzugia.

"Lakini mara nyingi hutokea wakati unazo"-Proff J
 
Ni mwendo wa buckets na makali ya kila aina na shisha mezani, huwambii kitu. Na pisi mbili tatu za kuzugia.

"Lakini mara nyingi hutokea wakati unazo"-Proff J
Kimtindo tu ndani ya 10pasenti bwashee
 
Kuhudumia ukiwa na maana ipi mdau?Ama maana yingisha kama imekwisha zungusha round?
 
Bila bakora wewe tutakupoteza🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Mangiii, ni uzi after uzi...
Sema umewapa madogo chakula cha ubongo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…