Sawa bwasheeCha kufanya kipo ndani ya ubongo wa kila mtu siwezi dhibiti ,angalia uwezo wa Marie curie π€«ni vipi kama angepangiwa cha kufanya?
Kalale sasa bwa sheKijana nakuandikia wewe wa mika 20 mpka 35 ....
Ukiingia kwenye mfumo wa kuitwa kuhudumia na bado haujajipata kipesa ,umekwisha π€.....
Kujipata naongelea wale watu wanaweza fanya hata maamuzi ya dharura ya kipesa hata bila kuwaza, bila kutetereka kwa chochote......
Wewe bado una unga unga maisha achana na ufala wa kuvimba kifala ....eti kuhudumia π utakufa kibudu fala wewe.
Karibu pombeπ»
Usisahau kuagiza nyama choma.Mimi nalewa pombe tu , natoa njugu ,wakudonoa adonoe , wa kuvunga avunge ni unyama tu
Piga vitu bwasheee,Daktari ndio kwanza naamka
haielezeki mkuu, dahKivip bwashee π
Sema ni vibe la muda mfupi sana,,then unarudi kwenye hali yako ya kawaida.uzuri wa pombe huwa inakupa vibe flani unyama sana.....