Taste-Tester
Member
- Mar 13, 2014
- 8
- 0
Huenda umewahi kuumizwa na wasiojua kupenda/kupendwa au hata kama siku zote umekuwa ukisubiri, nina imani kwa uzi huu ndoto yako itatimia. Sina masharti yoyote, kama umenielewa PM.
Wewe haujawahi kumuumiza mtu?
Wewe hauko lonely! Am with you.
Mie wewe sikuwezi ni matawi ya juu usije niumiza bure bora niwe lonely
Matawi ya juu wanakaa Ndege na nyani tu, am human being, naweza nikawa sina pesa ila nikakupa moyo wangu.
Mhhhhhhhhh!!!!!!!!
Trust me moyo unathamani kuliko Mali zote duniani, ulishasikia mtu anaumwa akapelekwa India kubadirishiwa moyo?
Hakuna, watabadirisha figo, utumbo ila siyo moyo.
Wewe haujawahi kumuumiza mtu?
Mimi ni m1 kati ya wengi waliowahi kuumizwa na wale wasiojua kupendwa, hopeful kupitia hapa nitapata wa kufanana nae!
Huenda umewahi kuumizwa na wasiojua kupenda/kupendwa au hata kama siku zote umekuwa ukisubiri, nina imani kwa uzi huu ndoto yako itatimia. Sina masharti yoyote, kama umenielewa PM.
Trust me moyo unathamani kuliko Mali zote duniani, ulishasikia mtu anaumwa akapelekwa India kubadirishiwa moyo?
Hakuna, watabadirisha figo, utumbo ila siyo moyo.
Humpati mtu kwa swagga hizo...