Ewe askari wa kutuliza ghasia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ewe askari wa kutuliza ghasia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, Feb 4, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Wito wangu kwa hawa FFU, wakati wewe unampiga mtoto wa mwenzio hapa Mlimani, askari mwenzako pia anampiga mdogo wako wa Dodoma. Tuwe na ubinadamu jamani, kwani ninyi ni raia wenzetu na tunaishi na nyie huku huku mitaani.
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  ipo siku...
   
 3. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Elimu kitu muhimu sana sasa hawana we unafkiri wafanyaje?nitajie polisi japo mmoja aliyeperform division one form four.
   
 4. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jamani nitampiga mtu risasi akipiga wanangu hapo UDSM
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Watakudunda au utawadunda????
   
 6. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Polisi wa Tanzania kwanza asilimia 98 ya polisi ni rejects, wamefeli form 4 na six!!sasa wako pale kwasababu ya njaa zao lakini ajabu wanapiga sana watanzania wenzao wakigoma ACHENI HIZO!! ipo siku tukilianzisha hamtaweza na moto wa watanzania wote hamtaweza kuuzima!!

  Kuweni wastarabu simameni lindeni watu waandamane sio kuwapiga na mabomu na majia pia hata risasi!! lakini jambazi akija na silaha mnakimbia!! ovyooo
   
 7. doup

  doup JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Hapo mbona unawatukana wote kuanzia wa chini mpaka yule mkuu wao; waulize katika idadi yao ni asilimia ngapi wamehitimu form four?
   
 8. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kitu muhimu hapa ni hawa polisi kuelimishwa zaidi kuhusu haki ya kikatiba!
   
 9. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  I also wonder kama wanasoma JF
   
 10. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wanajf hawa polichi ni wajinga ajinga jinga,yanaonekana kama makobe flani hv,yani nadhani ndo mana yameoneka na misura mibaaaya,of coz kuna mmoja alivunjika mguu ktk mgomo wa mwaka 2008-2009,pale udsm ,ningependa mwaka huu ffu apate adabu,kudadeki zaooo jamani
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Siku naona inakaribia..
  28.58
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama zile nyumba zao za mabati zina hii kitu ya TANESCO...
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Toka lini ukasikia askari wa FFU wanaruhusiwa kuwa na mtoto? Unanchekesha!
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Hilo jipya, ndo kwanza unijuze leo. Sasa kama ikigundulika ana mtoto, afutwa kazi ama mtoto auwawa?
   
 15. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Elimu bwana yani mijamaa. Wanaishi kwenye mabanda ya bati then familia moja wako zaidi ya 8 na wanakaa chumba na sebure wana maisha magumu kweli kweli but ndio elimu hakuna.
   
 16. m

  mataka JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Unajua mtu unaweza kumpima uelewa wake na elimu yake ukajua nani mjinga/mpumbafu kati anasema au anayesemwa! Mtu hujafanya research yoyote unaongea tu, huo ni UPUMBAFU. Polisi sio km mnavyowafikiria, mie nimewafuatilia mda mrefu nimekuta kuna wasomi tena Graduates of 1st degree & Masters wapo! Kwa taarifa tu madepo matatu yaliyotoka CCP toka mwaka jana na mwaka huu March na hawa waliopo pale CCP, almost 500 Graduates wapo jeshini hapo excluding madepo ya nyuma na wanaojiendeleza. IGP MWEMA AMEMALIZA MASTERS OF LAWS hapo UDSM! Hivyo polisi wana kila wataalam wa bachelor mbalimbali. Nyie mna chuki binafsi coz mnazuiwa kufanya ujinga wenu kwa maslai binafsi ila mtasema wao wanachapa kazi tu. Lakn hivi kwa ujinga wenu huo nyie mnaowatukana polisi mnadhani Jeshi La Polisi lisipokuwepo hata nyie mnaotukana mnadhani mtakuwa salama, ndg zenu je, mali zenu je? Acheni upumbavu jeshi la polisi ni taasisi muhimu duniani kokote. Hivyo WAJINGA NA WAPUMBAFU NI NYIE Mnaongea ujinga bila kujitambua! NAWASILISHA.
   
 17. m

  mataka JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkuu mbona nyie mnaojiita GRADUATES mna shida kibao, bongo pale posta 2nawaona na vibahasha vya khaki na rangi ya nyeusi vimechoka mnatafuta kazi, viatu vikiwa vimeisha sorry, suruali za vitambaa vya zamani toka 1st year, sura hazina matumaini, huku unaishi kwa ndg tena shemeji, unakula ugali wa shikamo, umri unakwenda! Eti una Mabachelor ya Accountancy, Laws, Sociology, Commerce, B. Administration, etc. Upuuzi mtupu jifunze maisha usidhani bongo ukiwa na elimu ndo kuwin, 2meona wangapi na masters lakn wanalala sebuleni tena kwa shemeji zao? Mie nawapa changamoto, make nimepitia uko na philosophy hizo hizo.
   
Loading...