Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Acha kujisifia ujinga,mwanaume kamili hawezi kufanya huo upuuzi na kuja kujitapa hapa,kiufupi umefanya jambo la kijinga sana na kama unabisha mwambie mme mwenzio kwamba umemkomoa kwa kutembea na mke wake uone itavokuwa
Aanze yeye kuniambia anatembea na mke wangu
 
Nilimkuta I kama alivyozaliwa baada ya mtoto wa watu kujisitiri

Kumbuka kuwa Huyu alikuwa mke wa Mtu tayar lkn mtoa mada alimkuta mtoto wa watu kujisitiri..


Uchumi wa Kati
Tumia akili japo kiduchu tu utaelewa
 
Mnavyopeana mimba nini maana yake?

Kwamba mnatafuta mtoto aliyezaliwa kutokana visasi vya wazazi au

Tuheshimu watoto ht kama hawana kauli.

Kisasi akisaidii,mwanamke/mwanaume hayupo mmoja Na sio lazima muendelee na mahusiano.
Comment iliyojaa hekima,kila aliyeisoma amepata kitu cha ziada ,pamoja sana mkuu nimekukubali sana
 
watu na ndoa zenu
 
Umesema ni mke wake alafu ukamkuta kama alivyozaliwa, hapo inakaaje mkuu au mimi sijaelewa?!🤔
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…