Evvoli Tv

Evvoli Tv

Evvoli brand nzuri sana na sio chinese mnavyofikiria,mtengenezaji wake ni italy na kuna vitu vingi anatengeneza kama majiko bora ya umeme,microwave,friji nk
Evolli ni brand ya kampuni ya Dubai inaitwa masa trading Dubai.

Kwenye web ya masadubai, wanadai kuwa TV wanai-design Italy na sio kutengeneza, hao masa trading ndio wauzaji WA TV za star X pia.

Hivyo, hizo TV zinatengenezwa China na sio Italy,
"MASA Trading FZE is one of the top importers of electronics from China in UAE for LED televisions and AC units"

lakini bila kujali inapotengenezwa WAla kudesign kikubwa ni SPECIFICATIONS za hiyo TV
 
Evvoli ni kutoka Italy. Sio mchina.
China Wana assembly Tu kama iPhone.

Evvoli Kuna ya inch 43.
Smart TV
4k
Used 1 month
Bei 600,000
Maongezi yapo
Ipo Dar es Salaam
View attachment 2332067

Wewee..!!

Hakuna bidhaa inayotoka Uropa, haya maTv yanafyatuliwa China kisha huko uchochoroni yanabandikwa lebel za kampuni za tv

Kuna tv zinaitwa MO electro, ni bidhaa ya Mo Dewji,,,, sasa jiulize Mo Dewji ana kampuni/kiwanda cha kutengeneza Tv!????

Akili kumkichwa..!!
 
umeongea point sana
 
Evvoli nzuri sana kwa zaidi ya miaka 2 iko chuma, display nzuri.
 
Evvoli brand nzuri sana na sio chinese mnavyofikiria,mtengenezaji wake ni italy na kuna vitu vingi anatengeneza kama majiko bora ya umeme,microwave,friji nk
Huyo ni mchina boss,kaa kitalamu
 
Nina tv kampuni ya arboder Ina mwaka wa nne Ina gonga mzigo kinoma,madogo wakitoka skonga holiday,June ma December inakoma,na bado fresh tu.
Kama vipi mwana chukua arboder you will never walk alone😃😃😃😃
 
Nina tv kampuni ya arboder Ina mwaka wa nne Ina gonga mzigo kinoma,madogo wakitoka skonga holiday,June ma December inakoma,na bado fresh tu.
Kama vipi mwana chukua arboder you will never walk alone
we jisifie tu lakini jua macho mnayaharibu kwa hizo tv zenu
 
Nina tv kampuni ya arboder Ina mwaka wa nne Ina gonga mzigo kinoma,madogo wakitoka skonga holiday,June ma December inakoma,na bado fresh tu.
Kama vipi mwana chukua arboder you will never walk alone
Kwanini watu wengi humu mnajificha kweny durability tu ,tv ni zaidi ya durability
 
Back
Top Bottom