jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,524
- 11,610
Na skyworth je?Bora hizo ,kama budget ndogo angalia TCL na Hisence
Na skyworth je?Bora hizo ,kama budget ndogo angalia TCL na Hisence
Vipi picha ina viwango au alimradi tu? Ni android au kawaidaNina tv kampuni ya arboder Ina mwaka wa nne Ina gonga mzigo kinoma,madogo wakitoka skonga holiday,June ma December inakoma,na bado fresh tu.
Kama vipi mwana chukua arboder you will never walk alone😃😃😃😃
Iko njema kwelikweli,viwango vya Hali ya juu,uliza kwa wanaotumia arboder watakwambia,labda utaona Mimi nawafagiliaVipi picha ina viwango au alimradi tu? Ni android au kawaida