evoque umasikini unao mwenyewe

......
407920_10150594055333156_649878155_10646783_972327286_n.jpg

this is a 2012 brand new car...EVOQUE
bongo bana raha sana
usaidiweje?
www.tradecarview.com/used_car/land+rover/range+rover/8606549/ na jiangalizie mwenyewe bei yake afu jipigie kodi uzimie
 
ni ya kawaida functionality most ziko hata kwenye vits...but sio la watu wa kawaida hohe hahe....unapeba box mpaka uote kibiongo hutakaa

HSE ndo ndinga rasmi ya wabeba mabox

Halafu umenote kuwa nimetumia HSE na sio Vogue?
 
......
407920_10150594055333156_649878155_10646783_972327286_n.jpg

this is a 2012 brand new car...EVOQUE
bongo bana raha sana
usaidiweje?

The photo speaks a million words.... magazeti, daladala, mark II na bango zuri kweli la TUKUSAIDIEJE?
 
Da!Change yetu ya rada ndo wameamua kuifanya hivi!Hakyanani safari hii tutaelezana vizuri
 
Wazee ! Kamba anakula kwa urefu wa Mbuzi wake !
Nawauliza wenye hii industry ya kutengeneza magari haya Baiskeli za Evoque hawatengenezi ?
 
Back
Top Bottom