Mkuu hiyo picha kwenye avatar yako hilo jengo lipo nchi gani?aisee, kumbe future sio kitu kizur kabisa...
kuna nchi ipo kwa wanaume tu, nyanda za chini kaskazini, kuna vichaka na hali ya joto sana....ndo hilo ghorofa linapopatikana...Mkuu hiyo picha kwenye avatar yako hilo jengo lipo nchi gani?
Aisee wachina bwana wachokozi kweli !