wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 411
- 250
Sony wana develop Smartwig, wig ya kuvaa kichwan, ila itakua inabeba computer ya kukusaidia kwenye kutembea, directions, presentations nk
Microsoft nao wanadevelop a Smartbra, ili kusaidia watu(Mostly wanawake) from emotional eating.
Kutoka kwenye smartwatch, sasa kuna smart ring, inaconnect kwenye device yako ya Android au iOS
Yani siku hizi, kila kitu smart, Mpaka PETE!, Hii ni nouma aisee