Everything goes wrong (naelekea nisipotaka kuelekea)

Mshike mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Right

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana amenishangaza sana

Alipata mama akamsaidia akapata dawa. mambo yake yakaanza kwenda vizuri

Akatupa dawa. mambo yakaanza kwenda kombo tena.

Sasa anaomba msaada mwengine wakati alikataa msaada.

Sijaelewa kwanini alikataa msaada ulio anza kufanya kazi alafu anazunguka mitandaoni kuomba tena msaada from strangers

Kijana amenishangaza sana. hajitambui
 

Kumjudge mtu sio kazi yangu wala yako tumuachie mungu.



Mpambanaji nisiechoka kupambana
 
Mkuu ni changia tu kwa ufahamu wangu juu ya mambo ya rohoni,
1.kwanza nataka nikuambie waganga wa kienyeji na wachawi wote ni watenda kazi wa shetani.Mchawi analoga kuharibu na anayejiita mganga analoga kutengeneza au kurekebisha kilichoharibika ila wote ni watoto wa baba mmoja.
2.Ulipoenda kwa mganga na ukafanikiwa kwenye matatizo yako hapo tayari kama una amini katika dini yeyote ambayo haishauri kwenda kwa waganga ,hapo tayari uliiacha IMANI yako.Kama kinachokufanya useme hujaiacha imani yako ni kuendeleaa kwenda kanisani au msikitini nakupa pole.Kwetu sisi wakristo ukiasi unaweza endelea kwenda kanisani lakini unatakiwa ujue kuna kanisa hili linaloonekana kwa macho kwa maana ya washirika lakini pia Mungu ana kanisa lake ndani ya hili kanisa tunaloliona kwa macho ya nyama.Sasa unaweza ukawa upo kwenye kanisa la wanadamu lakini kwenye kanisa la Mungu haupo,wewe uliiacha imani yako labda kama imani yako inaruhusu kwenda kwa waganga.
3.Unaposupport kutumia dawa za mganga maana yake unashida,mleta mada ndani yake alitamani apate msaada wa Mungu lakini pia hajui ni wapi atapata msaa na yeye kuwa salama kwani siku hizi hata kuna watumishi feki wengi wakitaja jina la Yesu nakumbe wanatumia nguvu za giza.
Njoo inbox kama utakuwa na amani kuna kitu nataka kukushauri privately.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…