chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,240
- 3,938
hapo kuna wajinga wengi utawakamata tena umetumia tekiniki nzuri sana
Mshike mkonoUsikate tamaa hayo yataisha ni mambo ya muda tu. Mwenyewe hapa nilitimliwa kazi 2013, msoto niloupitia ni noma Bora hata wewe unapakukaa. Ilifika tym nkawa Kama nmedata Hadi mwenyewe najistukia.washkaj wote walinikataa wakidai mimi ni mwizi. 2017 Hali ilikua mbaya zaidi, mambo yalibadilika yenyewe tu. leo hali ngumu naiskia kwa watu ni mwendo wa Bata tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
RightUchawi upo, acha kujifanya una dini sana wakati ukichunguza hizi dini zenyewe zina ushetani mwingi.
Hata hayo makanisa ya uponyaji utakayoenda yana mambo ya kiza lukuki.
Ulikosea sana kutofuata msaada alokupa huyo mama.
Mrudie huyo mama, muende tena kwa huyo mtaalamu ukaweke mambo sawa. Au tafuta kanisa ukakomae huko.
Unforgetable
Kijana amenishangaza sana
Alipata mama akamsaidia akapata dawa. mambo yake yakaanza kwenda vizuri
Akatupa dawa. mambo yakaanza kwenda kombo tena.
Sasa anaomba msaada mwengine wakati alikataa msaada.
Sijaelewa kwanini alikataa msaada ulio anza kufanya kazi alafu anazunguka mitandaoni kuomba tena msaada from strangers
Kijana amenishangaza sana. hajitambui
Yote yatapita ndugu,usikate tamaa kwasababu bado unayo nafasi,kuna sababu ya wewe kuwa hai mpaka sasa,soon utaijua.
Mungu azidi kukubariki.
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umeamua kupingana na hii kauli:, TOUGH TIME NEVER LAST, BUT TOUGH PEOPLE DO!!.Moja kati ya vitu nmejifunza kwenye maisha ni, ''nyakati mbaya HAZIDUMU" .. Usikate tamaa mambo yatakua sawa tu
Mkuu ni changia tu kwa ufahamu wangu juu ya mambo ya rohoni,Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita asubuhi mapema sana tu niliinamisha kichwa chini mkononi nna chupa ya valuer nipo katika dimbwi kubwa la mawazo ghafla nikasikia sauti ikiinita''Flan Flan''Nikaiunua kichwa nikakutana na sura ya mwanamke ambaye namjua nikamuangalia kilevi yani kwa sura ya kuduwaa nikamuuliza umenijuaje wakati mi nlikuwa nimejiinamia akanimbia habari zako ninazo kwahiyo nilikufananisha ila nilipogundua kama ni wewe sikushangaa...
Ndugu niliyopitia mpk hapa nilipo ni story ambayo mimi mwenyewe muda mwengine nikiifikiria natamani kulia na kucheka pia bora wewe ila asikwambie mtu Msoto anaepitia mtu ambae hapo nyuma alikuwaa vizuri kichumi halafu akashuka tena ghafla ni mbaya sana wewe unasema unajisikia kudata mimi nilidata kabisa....
Kaka shetani ana nguvu sana hasa kwa watu wa aina yetu ambao kuna vitu tumebarikiwa ndio sehemu ambayo anapenda kuharibu kwahiyo ni lazima kushindana nae iwe kwa njia moto au ya baridi la kwanza inabidi ukubali binadamu sio kila mmoja atakutakia mema na pia uchawi upo.Kukutana na yule dada nahisi kama ulikuwa mwanzo wa kutoka shimoni nisidanye na mimi pia alinipeleka kwa mganga nashukuru mambo yalichange I do not regret sabab sijaiacha IMANI yangu mi sikubaliani na wewe jambo la kuacha kuendelea na dawa uchawi ni kama moto wa gas dawa yake kuuzima kabisa maana ukiupoza hauwezi kuzimika utawaka upya....
Kaa chini jitathmini wewe ndio unajijua vizuri maana sio kila anaepitia nyakati za masononeko kuna ushirikina ndani yake....
Wengi waliyokushauri wanapretend kama hakuna ushirikina au uchawi,nguvu za Giza hizo dalili na maelezo yako ni ushirikina umefanyiwa na wenzako uliyokuwa unafanya nao kazi,nyakati ngumu katika maisha zinatokea lakini hata binaadamu wanaweza kukufelisha kwa njia za kichawi.....Mimi binafsi nilipotoka hayo mambo ya kurogwa yapo ndiyo maana natofautiana na wachangiaji wengi humu.
Hiyo hali ya mambo kuharibika IPO sana hata hao wachungaji wanaenda kwa waganga kusafishwa nyota,kuoshwa kuondolewa nuksi na mikosi ambayo ukitupiwa utaangaika mpaka dunia inatanduka hakuna kitakachoongoka.....cha msingi Fanya ibada sana kisha tumia dawa kuondoa hivyo vitu vibaya mwilini kwako hata ulipoenda kwa mganga ungemaliza tiba ukaendelea na ibada maisha yako yote umtegemee mungu hata hizo dawa za mganga zinategemea nguvu ya mungu.
Unakuta muafrika kabisa eti haamini uchawi!!! Labda uwe hujarogwa ndiyo utakuwa unampa mtu ushauri kulingana na maisha yako....watu wanarogwa na kurogana asiye amini ushirikina kama upo huyo ni muongo....Mimi nimeshuhudia hivi vitu sana....kuna watu walikuwa wametupiwa misukule wametibiwa na waganga wamepona lakini hawajihusishi tena na waganga.
mkuu umemayo nikweli nakumbuka niliwahi kupanga kwenye Banda moja hivi na mmama wa kiha asa kuna siku me nawenzangu tukawa tunabishana kuhusu mambo yakichawi huku nikiwabeza wanaoenda Kwa waganga bac Yule mama wakiha kutoka kigoma Ujiji akanisikia, kwanin asinifanyie mauchawi ikawa anaingia ndani kwangu ananichezea balaa ikafika kipindi kazini nikawa nachukiwa kama mav mpaka ikapelekea kufukuzwa kazi, bandugu uchawi upo asikwambie mtu.