Kwa upande wa kanisa mkuu nenda pale nyuma ya stend ya mabasi(ubungo), kuna kituo kinaitwa emmaus center kuna wakarismatic watakusaidia kurejesha uhusiano wako na Mungu na yote yatapita na mambo yote yatakuwa sawa, hakuna malipo yeyote hapoShukrani mkuu nitajaribu kupitia pitia nitoke hata na chochote
Sawa, basi unatafuta na kashughuli kangine angalau unakuwa na vishughuli viwiliKinachopatikana mda mwingne kinatosha kula tu
Ukweli haupingiki, Ukweli maisha yote huushinda uongo, kuwa muwazi na nafsi yako,Ahsante kwa unayotamani yaendelee kua juu yangu na mungu akakubariki[emoji120]
Kwa upande wa kanisa mkuu nenda pale nyuma ya stend ya mabasi(ubungo), kuna kituo kinaitwa emmaus center kuna wakarismatic watakusaidia kurejesha uhusiano wako na Mungu na yote yatapita na mambo yote yatakuwa sawa, hakuna malipo yeyote hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu yangu, wanadamu tunapitia magumu sana, binafsi ningetamani kujua uko wapi kwa sasa na wewe ni mtu wa wapi yaani kijijini kwenu au chimbuko lako ni wapi...nikiyajua haya nitaweza hata kukushauri la kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika pilika zako epuka sana waganga na wanaojifanya manabii, watakupoteza zaidi. Simamia imani yako na uweke juhudiMaisha yanapilika nyingi sana
sogea PM, weka namba yako hapo, tuone tunasaidianajeDar es salaam maeneo ya mabibo hostel mkuu
Pole sana. Kama una Imani kesho nenda Ibadani kwa Pastor Rose Shaboka Kebby Hotel. Baada ya Ibada mtafute hata uongee nae. .Hongera pia kwa kutotumia madawa ya kiganga
Sent using Jamii Forums mobile app
umenikumbusha mbali nilipitia mayo mkubwa kipindi npo nyarwambuUsikate tamaa hayo yataisha ni mambo ya muda tu. Mwenyewe hapa nilitimliwa kazi 2013, msoto niloupitia ni noma Bora hata wewe unapakukaa. Ilifika tym nkawa Kama nmedata Hadi mwenyewe najistukia.washkaj wote walinikataa wakidai mimi ni mwizi. 2017 Hali ilikua mbaya zaidi, mambo yalibadilika yenyewe tu. leo hali ngumu naiskia kwa watu ni mwendo wa Bata tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mlikagua vitu vikawa fresh kisha ukapigiwa na jamaa yako akakwambia kuna kilichozingua, na pia ulimsalimia hakukuitikia pamoja na kukuongelea vibaya, iyo ni ishara kabisa ya kuwa kunawivu mkubwa alikuwa anakuonea wewe juu ya mafanikio yako na ndio sababu ya hayo uliyonayo sasa.
Pengine ni kweli kuna kitu kimefanyika juu ya hali yako ya sasa.
Ndugu hii dunia kuna magonjwa ya mwili na magonjwa ya roho pia, jitahidi kuswali na mtafute mtu anayejua tiba akusaidie na usitupe tena dawa maana ndio tiba yako kwa sasa na mambo yatarudi kuwa fresh kama zamani na pia shikamana na ibada sana maana ndio ulinzi wa kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita asubuhi mapema sana tu niliinamisha kichwa chini mkononi nna chupa ya valuer nipo katika dimbwi kubwa la mawazo ghafla nikasikia sauti ikiinita''Flan Flan''Nikaiunua kichwa nikakutana na sura ya mwanamke ambaye namjua nikamuangalia kilevi yani kwa sura ya kuduwaa nikamuuliza umenijuaje wakati mi nlikuwa nimejiinamia akanimbia habari zako ninazo kwahiyo nilikufananisha ila nilipogundua kama ni wewe sikushangaa...
Ndugu niliyopitia mpk hapa nilipo ni story ambayo mimi mwenyewe muda mwengine nikiifikiria natamani kulia na kucheka pia bora wewe ila asikwambie mtu Msoto anaepitia mtu ambae hapo nyuma alikuwaa vizuri kichumi halafu akashuka tena ghafla ni mbaya sana wewe unasema unajisikia kudata mimi nilidata kabisa....
Kaka shetani ana nguvu sana hasa kwa watu wa aina yetu ambao kuna vitu tumebarikiwa ndio sehemu ambayo anapenda kuharibu kwahiyo ni lazima kushindana nae iwe kwa njia moto au ya baridi la kwanza inabidi ukubali binadamu sio kila mmoja atakutakia mema na pia uchawi upo.Kukutana na yule dada nahisi kama ulikuwa mwanzo wa kutoka shimoni nisidanye na mimi pia alinipeleka kwa mganga nashukuru mambo yalichange I do not regret sabab sijaiacha IMANI yangu mi sikubaliani na wewe jambo la kuacha kuendelea na dawa uchawi ni kama moto wa gas dawa yake kuuzima kabisa maana ukiupoza hauwezi kuzimika utawaka upya....
Kaa chini jitathmini wewe ndio unajijua vizuri maana sio kila anaepitia nyakati za masononeko kuna ushirikina ndani yake....