Everyone hates condoms; How to love them!

KUMB 22:5 "Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu...

Ni kweli.
Lakini, Dhararura(na maanisha dhambi anayoweza kuifanya mja )
Maandiko hayohayo yanasema akitubu atasamehewa, ama sio??
Basi, Kama imetokea dharula, ukateleza kisha ukatubu,
Maana yake ni-kuwa umeikaribia dhinaa kwa dharula-Nimemaanisha hivyo.
Tuwanadamu sie na hili haliepukiki.

Sina nia wala lengo lakubadili maudhui ya uzi huu ila sitakuwa tayari kuendelea kujadili kipengele cha hoja tunayoijadili sasa hapa kulinda mantiki ya mleta Uzi.
Cc.FaidaFox.
 

Maduka gani hapa dsm.
 
Mmmh, me bado sijaanza hiyo michezo, nasubiri hadi nifike 35 ndo nioe na nianze rasmi, ila ngoja niwe napata theory kimtindo hapa
 
This is not the cyberteq i know. Do it man. Au weka hata avatar ya gari tu

Hahahaa, na wewe mbona umeweka mashine ya maana hapo sjui kitu Mark XIX, Desert Eagle! wacha nimwache kwanza mzee mzima Rick-Ross a.k.a Freeway Ross atulie hapo anikumbushe thick and thin za hustling! au unaniambiaje mkuu?
 
Instead of hating condoms, hate the situation that is forcing you to wear condoms.

Am of the opinion that it ain't your spouse you are getting freaky with.

Wizi Mtupu.

Jamani tuacheni uzinziiiii.
 
Instead of hating condoms, hate the situation that is forcing you to wear condoms.

Am of the opinion that it ain't your spouse you are getting freaky with.

Wizi Mtupu.

Jamani tuacheni uzinziiiii.

watu wanatumia condom ndani ya familia, wengine hawana wapenzi au wanaishi nao mbali mkijifanya mnaaminiana kwa maneno mtashtukia ukimwi umetia timu msijue nani kauleta! TUMIA KINGA.
 
Nachelea Kigoda hiki si mahsusi kwa mjadala huu.

Kama uliweza kusema hayo ni maandiko ukashindwa kuweka ushahidi, basi hayo ni maandiko yako na usisingizie jukwaa.

Muwache uongo na kukufuru.
 
Hujakutana na shughuli ukigegedwa ukakimbia hadi chumba kwa usiku 1 na ukawa na hangover karibu wiki nzima, inaonekana unakutana na wanafunzi tu wa ngono.

Sio tu nataka ratiba yangu ya hizo ipo tight kama ya British airways
kitanda hata kwetu kipo
 
watu wanatumia condom ndani ya familia, wengine hawana wapenzi au wanaishi nao mbali mkijifanya mnaaminiana kwa maneno mtashtukia ukimwi umetia timu msijue nani kauleta! TUMIA KINGA.

ushauri mzuri. Vipi hizi trojan ni bora kuliko melt me mkuu? Ila hizo za gvt za bure na salama zina ubora mdogo kuliko kawaida.
 
ushauri mzuri. Vipi hizi trojan ni bora kuliko melt me mkuu? Ila hizo za gvt za bure na salama zina ubora mdogo kuliko kawaida.

Hizo sijawahi kuzitumia kaka, hizo si ndiyo TBS walizizuiya? Trojan ni high-end condoms mkuu.
TUWENI MAKINI JAMANI, UHAI HUO.
 
Kama uliweza kusema hayo ni maandiko ukashindwa kuweka ushahidi, basi hayo ni maandiko yako na usisingizie jukwaa.

Muwache uongo na kukufuru.
Mwalimu,
Naomba nikubaliane nawe 'kutokukubaliana' maamuma mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…