Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Hahaaaaaa lol you made my day, indeed a wish for a every woman! but I wish he was happy too, why does he looks sad?Is this every woman's dream my sisters?
Hahaaaaaa lol you made my day, indeed a wish for a every woman! but I wish he was happy too, why does he looks sad?
Bw. AB,
Tatizo la hii 'model' ni kwamba huku kwetu uswazi nyumba za kupanga, vyombo vyaoshewa nje upenuni watu wote na wapita njia wakuona, maana hamna haya mambo ya ndani kwa ndani.
Hivo mwanamume unapoamua kufanza kama haya inabidi uwe na moyo wa chuma kwelikweli, maana kila mtu mtaani atajua.
Dah huyo jamaa kalazimishwa haoshi kwa ridhaa yake.
Mi siwezi kufanya hivyo hata kwa mijeredi
Its next to impossible for you to be happy when roles have been reversed
albeit 'under protest' so to speak.
Mwisho mtasema waume pia wabebe mimba eti!!!
Mwanaume kuosha vyombo nje au kubeba mtoto mgongoni kwa khanga haina shida kabisaaaa! Haki sawa kwa wote!Bw. AB,
Tatizo la hii 'model' ni kwamba huku kwetu uswazi nyumba za kupanga, vyombo vyaoshewa nje upenuni watu wote na wapita njia wakuona, maana hamna haya mambo ya ndani kwa ndani.
Hivo mwanamume unapoamua kufanza kama haya inabidi uwe na moyo wa chuma kwelikweli, maana kila mtu mtaani atajua.
Na huo mvao si sahihi kwa shughuli hizo labda kama ilitokea kwa dharura akajikuta akiangukiwa na majukumu baada ya kutoka job bila fursa ya kuchenji.