Every woman's dream or is it?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Is this every woman's dream my sisters?

attachment.php
 
Attachments

  • every woman dream.jpg
    every woman dream.jpg
    28.6 KB · Views: 1,189
Bw. AB,

Tatizo la hii 'model' ni kwamba huku kwetu uswazi nyumba za kupanga, vyombo vyaoshewa nje upenuni watu wote na wapita njia wakuona, maana hamna haya mambo ya ndani kwa ndani.

Hivo mwanamume unapoamua kufanza kama haya inabidi uwe na moyo wa chuma kwelikweli, maana kila mtu mtaani atajua.
 
Yes the best dream ever!! psyche!!
that man is a sissy...henpecked, help yes lakini actually doing all that wow. I guess his wife is no more...
 
Mbona yuko na mawazo mnoo! huyu itakuwa amefiliwa na my wife wake tu ndo maana yupo hapo.
 
Dah huyo jamaa kalazimishwa haoshi kwa ridhaa yake.
Mi siwezi kufanya hivyo hata kwa mijeredi
 
Hiyo "picture" anaelezea vizuri huyo jamaa alivyo-fustrated"

Hafanyi kwa utashi wake! My wife amelala nje probably! au on worst case scenario hayupo naye tena!
 
Hahaaaaaa lol you made my day, indeed a wish for a every woman! but I wish he was happy too, why does he looks sad?

Its next to impossible for you to be happy when roles have been reversed
albeit 'under protest' so to speak.

Mwisho mtasema waume pia wabebe mimba eti!!!
 
Bw. AB,

Tatizo la hii 'model' ni kwamba huku kwetu uswazi nyumba za kupanga, vyombo vyaoshewa nje upenuni watu wote na wapita njia wakuona, maana hamna haya mambo ya ndani kwa ndani.

Hivo mwanamume unapoamua kufanza kama haya inabidi uwe na moyo wa chuma kwelikweli, maana kila mtu mtaani atajua.

Nice observation....uswazi kuna majaribio yake mkuu.
 
Dah huyo jamaa kalazimishwa haoshi kwa ridhaa yake.
Mi siwezi kufanya hivyo hata kwa mijeredi

Mkuu Fidel80,

kina dada wakikusikia watakuja na hio mijeredi kisha tuone kama
utafurukuta weye. Usiombe yakukumbe mkuu mwenzangu...:D
 
Its next to impossible for you to be happy when roles have been reversed
albeit 'under protest' so to speak.

Mwisho mtasema waume pia wabebe mimba eti!!!

Nonoooo no that far but it really is cool for a masculine man to do household works like this it makes you feel you are valued thats all.
 
Bw. AB,

Tatizo la hii 'model' ni kwamba huku kwetu uswazi nyumba za kupanga, vyombo vyaoshewa nje upenuni watu wote na wapita njia wakuona, maana hamna haya mambo ya ndani kwa ndani.

Hivo mwanamume unapoamua kufanza kama haya inabidi uwe na moyo wa chuma kwelikweli, maana kila mtu mtaani atajua.
Mwanaume kuosha vyombo nje au kubeba mtoto mgongoni kwa khanga haina shida kabisaaaa! Haki sawa kwa wote!
 
Kuna mchizi wangu hapiki, hataki hata kuchemsha maji.

Lakini mpe vyombo hata vyenye ukoko anakuoshea vyote, na demu wake anammind kichizi. Lakini habari za mtoto mgongoni zataka moyo.

Mfumodume noma.
 
Na huo mvao si sahihi kwa shughuli hizo labda kama ilitokea kwa dharura akajikuta akiangukiwa na majukumu baada ya kutoka job bila fursa ya kuchenji.
 
Na huo mvao si sahihi kwa shughuli hizo labda kama ilitokea kwa dharura akajikuta akiangukiwa na majukumu baada ya kutoka job bila fursa ya kuchenji.

Huo ni mvao sahihi kabisa mkuu! Jamaa yupo kazini na kazi yake ni babysitter!! Na anatakiwa kuwa smart na kufanya house chores zote, kifupi analisha familia yake kwa kazi hiyo usikute!! Akifika home kwake hagusi hivyo vitu hata kwa mangumi!!
 
Ikiwa kazi zetu majuu twaosha vyombo, kitchen porter, tushindwe majumbani mwetu!
 
Kwakweli hiyo inakuwa too much, si hivyo tunavyotaka jamani msituelewe vibaya. Ila pia nature ya maisha yetu ya kiafrica hayampi wakati mzuri mwanamume kujimwaga katika kazi kama hizo. Laiti mazingira yangekuwa mazuri mbona ni kazi za kawaida tu jamani. Ebu tuwaulize wenzetu wanaosoma nje ya nchi mbali na familia zao kwani wanafanyeje?
 
Mimi ni kati ya wanawake ambao hawadream hayo. Mwanaume ndani ya nyumba inabidi awe mwanaume sio housegirl au baby siter. mwanaume anatakiwa kucheza na mtoto, sio kubeba mtoto huku anaosha vyombo kama yupo kwenye adhabu.
kama kuna mwanamke anayedream hayo basi sijui anataka nini, au ameshamchoka huyo mume; maana huwezi ukawa na mume unayemfanya hivyo halafu ukawa unampenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom