Every dad's worst nightmare!

Hahahahahaha lol! Mie mkubwa banaaa hata sharubu zimeanza kuota lol!. Acha hizo tayari nina darubini yangu ili nione vizuri nisipitwe na chochote. Nataka kuhakikisha tu kama kweli maini yako yamezeeka sitayagusa kabisa. 😛😛

Hahahaha, maadili yananikataza kumkomaza mtoto, ukikua utaona.
 
Hahahahahaha lol! Mie mkubwa banaaa hata sharubu zimeanza kuota lol!. Acha hizo tayari nina darubini yangu ili nione vizuri nisipitwe na chochote. Nataka kuhakikisha tu kama kweli maini yako yamezeeka sitayagusa kabisa. 😛😛
Ukitaka kuhakikisha uzee wa maini yangu sharti uyaguse guse ati, uminye minye. Kama utaweza hilo sharti ruksa. Hiyo darubini yako labda ukahakikishe maini ya King'asti.
 
Reactions: BAK
Hilo umepata ila usianze tu kutoa sauti za ajabu ajabu wakati nayaminya minya na kuyagusa gusa maini yako.😛😛😛

Hahahahah, sasa kujua uzee wake si hadi usikie ishara na ishara yenyewe ndo hiyo sauti. Kwan hupendi kelele, uje na plasta wakati wa zoezi
 
Reactions: BAK
hahahahahaha lol! inategemea namna ya kelele husika kama zile zinazosikika mpaka mtaa wa kumi 🙂🙂🙂 au zile ambazo nazisikia mimi tu. Wewe kelele zako ni za namna gani?

Hahahahah, sasa kujua uzee wake si hadi usikie ishara na ishara yenyewe ndo hiyo sauti. Kwan hupendi kelele, uje na plasta wakati wa zoezi
 
hahahahahaha lol! inatehemea namna ya kelele husika kama zile zinasikika mpaka mtaa wa kumi 🙂🙂🙂 au zile ambazo nazisikia mimi tu. Wewe kelele zako ni za namna gani?
Kelele zangu za kisela tu, kelele nyingi kwani unatest uzee au unatoa mapepo. Lol
 
Reactions: BAK
Kuna clip nyingine dogo(malia obama)ana smoke weed,naona ilikuwa tukio moja na hiyo clip uliyoweka
 
Kinachokera ni kwamba hakafanani na kalichokifanya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…