Ambapo wananchi hao ni wawili tuYanga ni timu yenye wananchi wenye akili nyingi
Tatizo wangekuja na matusi, ndugu zetu tuna wafahamToa maoni kwa fikra huru sio lazima ujitambulishe we ni timu gani
Tumevuliwa nguo maoni gani yatasaidia katikati ya event.Toa maoni kwa fikra huru sio lazima ujitambulishe we ni timu gani
Leo una heka heka kama house girl , hizo trending zinakusaidia nini?
Ni Mzee manara na kikwete, Hilo niliweke wazi.Ambapo wananchi hao ni wawili tu
Kwenye kiingilio cha buku10 mzunguko wamejichanganya wenyewe,uwanja hauwezi kujaaTumevuliwa nguo maoni gani yatasaidia katikati ya event.
Watu wametoka kununua jezi elfu 40 leo atoe kiingilio elfu 10. Utasema hawafahamu watazamaji wa mpira ni watu wa aina gani
Matukio ya Yanga yamekua mengi kwa msimu huu lazima watu wapoe kidogoMimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k?
Nani anapaswa kuwajibishwa?
Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
Nenda kwenye tabia zakoTatizo mlikuwa bize na kibegi cha simba mkasahau event yenu