Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,311
- 105,644
Siwezi kumzuwia mtu anayedhani nina-seek public sympathy au attention.Ninaheshimu uhuru wa mtu kuamini atakavyo.Lakini it doesn't take a genius kuelewa kuwa kama ni publicity basi hizo makala tu za Raia Mwema ambazo, japo sina figure sahihi za readership per week, zinatosha sana kukidhi haja ya publicity, if I were having any.I have over 2,000 followers on Twitter na Blog yangu ina visitors zaidi ya milioni moja (na kwa mujibu wa outerstats.com blog hiyo inatembelewa na wastani wa watu 38,440 kwa mwezi) ,and if that's not enough publicity,then the term publicity has another meaning (natambua utapinga kwa kulinganisha na watu wengine lakini kwa kuwa keyword hapa ni publicity,challenge me that SUCH stats hazitoshi kumridhisha mtu anayesaka publicity,though I'm not)
Sasa,naomba kukupa challenge.Unafahamu 'uongo' wangu,unajua jina langu,una namba ya simu na e-mail address ya kituo cha polisi kinachohusika na tukio hilo.Kwa vile huamini nilichoandika (and I don't have to repeat again kuwa that doesn't bother me at all), kuwa muungwana kwa kupiga simu kituo hicho cha polisi.Ukikumbana na kikwazo chochote kile, wasiliana nami kwa barua-pepe CHAHALI at ABOUTdotME (unaweza kupata email katika kila mwisho wa makala zangu ambazo zinapatikana HAPA ) and you won't have to use your real name if you don't want to.
Badala ya kuendeleza porojo,ifike mahala tufanye mambo kwa vitendo. Badala ya kung'ang'ania tu "tupe case number," why not contact the police first then usikie kama watakutaka uwapatie case number (and I'm sure they won't sio tu kwa vile case haikuhusu wewe lakini kuna waliopiga na kupatiwa details pasi kuulizwa case number). Ninaamini ukiwaeleza polisi husika kuwa unatumia Freedom of Information Act kutaka kujua ukweli wa tukio hilo,watakupatia unachohitaji.Ukishapata,please DO come here again.
And this challenge is not restricted to you only. Yeyote anayedhani anahitaji kufahamu ukweli, anaweza kutumia njia hiyo nyepesi.
Wanasema 'mtoto mpe mwanga amlee' nami sasa nimekuachia jukumu hilo la ku-prove stori hiyo right or wrong.Nitashukuru sana kama your reply to this post haitokuwa porojo zaidi bali facts you'll have got from the police.Ila sihitaji kuwa Sheikh Yahya kuyumkinisha kuwa hata kama polisi watakueleza exactly nilichoeleza,it might have to take more than a lifetime kukuaminisha,and unfortunately, there are more important things in life than convincing you,or anybody else, kuwa I'd be the last person kujichulia janga to achieve something I don't even know.
WAITING....
Notion kwamba mtu anaweza kutosheka na publicity kwa sababu ana a certain following inaonyesha how poor your fundaments of thinking are.
Umeshindwa kumaliza ulichoanzisha mwenyewe, na sasa unataka kukimbia kwa kisingizio cha "watu wenye busara wameniambia".
Word to the wise.
Do not start a fire you cannot control.