***Euro2008***

Mkuu nahisi bingwa atatoka kundi A ama C.......

Yep mkuu my sentiments are similar to you, still naona Portugal ana nafasi kubwa even though nahisi kama wanashida ya striking, lakini with Nani, Ron, Quresma etc viungo ambao wameonesha potential kubwa ktk scoring wanaweza kufika mbali.

Kuhusu England, binafsi apart from the fact that ni mpenzi mkubwa wa EPL lakini i damn hate team yao, they talk talk talk and talk wakati uwanjani sifuriii!!, of coz kama Ka-Nsungu alivyobainisha tuta-miss kelele zao, lakini at the end o f the day tunataka soka yenye ''ladha'', by which England cant offer for us.
 
na kusema ukweli the fact dat england hawapo kwenye hii euro mie naona kama imepoooza mnoo as media za huko ndo huwagana kelele kibaoooooo now tungekua tushajazwa mambo kem kem na media zao as mpira wao uko kwa medias tu

siwapendi waingereza wanacheza soka la mdomoni sana hata WC 2010 sitaki waje Afrika

Si kwamba nafagilia kiwango cha soka cha England, I agree they are rubbish lakini kuna mambo ambayo hutokea kila kipindi cha mashindano makubwa, coverage kwenye TVs na magazeti, huge posters kwenye pubs, bendera zinazoning'inia majumbani mwa watu au kwenye magari esp. taxis, etc. English fans are more interesting to watch than their team!

Nobody will miss England kusema kweli...wanakwendaga kusindikiza wenzao tuu. Kutokuingia kwao kwenye michuano hii kutapunguza fujo na uharibifu wa mali za wenzao....

On the flip side....Oranje need to step their game up na kuanza kushinda vikombe sasa.
Mkuu KKN & Mtaalam nadhani mko sahihi..... Binafsi siwapendi Uingereza kama timu, ila napenda sana ushabiki wao......jamaa wanapenda soka si mchezo. Ushabiki ni kiungo muhimu sana cha soka...I'll miss them.
 
Yeah its now confirmed AZZURI skipper FABIO CANAVARO will miss the tournament
Mpo wale wa AZZURI???

Belo
AZZURI bado tunatisha tu,hata kutokuwepo kwake ,ila ni kweli jamaa ni muhimu kiasi fulani

kuna mkuu hawapendi AZZURI eti kwa sababu ni wazee,hivi kama mnachukia timu eti kwa sababu wachezaji wake ni wazee hii ndio sports?najua huyu mkuu yawezakana timu yake ni france lakini anyway angalia usipate presha tar 19/6
 
Yeah its the right time for betting....


Here we go...Swiss Vs Czech 1:1
Portugal Vs Turkey 2:0
 
Nasikia mtanange unaanza leo....Kuna link yoyote ya kuona cha ndimu mtandaoni? Kama ipo tunaombeni sisi watu wa nyanda za juu kusini............
 
Nasikia mtanange unaanza leo....Kuna link yoyote ya kuona cha ndimu mtandaoni? Kama ipo tunaombeni sisi watu wa nyanda za juu kusini............

Vipi kwani huko TBC1 haipatikani?
 
Last edited:
Haya Wakuu, tuwangoje hawa Waswisi na Czech watufungulie pazia...yetu macho
 
Last edited:
Nasikia mtanange unaanza leo....Kuna link yoyote ya kuona cha ndimu mtandaoni? Kama ipo tunaombeni sisi watu wa nyanda za juu kusini............

Ziko nyingi tuu...lakini kama unatumia dial up usijisumbue...ukiwa tayari niambie nikutundikie.
 
haya wajimini pazia ndo hiloo limefunguliwa na waswizi na wa chek....mpaka now nyavu bado zi bikira...!!!
 
Kusema kweli mashindano haya bila England ni sawa na chuzi bila chumvi, yaani nayamiss mashamsham ya mitaani hapa England kinoma, its as if hayapo kabisa!

Pamoja na kuwa England huwa hawafanyi vizuri kwenye mashindano hayo, lakini kutokuwepo kwao ni pengo kubwa katika mashindano hayo siyo tu kwa waingereza na wale wanaoishi UK bali kwa mpenda kandanda yeyote duniani.
 
Haya Wakuu, tuwangoje hawa Waswisi na Czech watufungulie pazia...yetu macho

Waswis 0 - 1 Czech, Czech wameshinda kwa kutumia uzoefu tu ila walibanwa sana. Pia Refa amechezesha chini ya kiwango.
 
Dakika ya 62 Pepe anafunga goli, Wareno 1, Waturuki 0
Raul Meireles anafunga bao la pili kwenye dakika ya 90 na mpira umekwisha.
 
de second match was more nzuri kwa leo..nw portugal wanaongoza kundi lao..
 
Ziko nyingi tuu...lakini kama unatumia dial up usijisumbue...ukiwa tayari niambie nikutundikie.

Niko tayari....dial up hiyo ilikuwa mwaka 47, sasa hivi minimum ni h-speed na kuendelea, nitundikie mkuu wangu.....nami niserebuke
 
Yeah its the right time for betting....


Here we go...Swiss Vs Czech 1:1
Portugal Vs Turkey 2:0


The first game was damn boring..!!,kama vile walikuwa wanacheza West Ham na Aston Villa, droo was a fair result for both of them ila luck was on the Czech side kupata goli lao.

Game ya pili, i got it right!! 2-0..!!, ila kwa sisi wateja wa TBC1, TV-Mozambique, UBC etc hatucheki game ya pili, natumai ilikuwa ya kusisimua zaidi ya ile ya kwanza!!


Game za leo; Austria atashinda as well as Germany (2-0,3-1)
 
ehh bandugu yan euro nazo zimewekewa ufisadi wa kuonyeshwa game moja moja...wakati watu twapanga kuja bongo for summer na kuenjoy euro na familia zetu plus kuona hiko kichwa cha mwendawazimu tanzania kinavyonyolewa maana tushachoka kusimuliwa...ohh mpira siku hizi wanajua kumiliki oohh wanacheza vizuri wakati matokeo yanazidi kwenda chini tuu!!
 
by de way leo tusubirie germany washinde ni kweli lakini hao wenyeji wenza sijuiiii!!
labda leo tutapata new datas as jana wafungaji woote wa 3 wametoa bikira zao za magoli ya timu ya taifa hawajawahi fungia timu zao za taifa at ol...
 
Back
Top Bottom