El Chapito
Member
- Apr 28, 2020
- 63
- 65
Mara watoto wa Mzee Vladimir Putin wanatushangaza😁
Lolote linaweza kutokeaMara watoto wa Mzee Vladimir Putin wanatushangaza😁
Naona uwanjani kuna mchezaji anataka kudedi uwanjani42' Denmark 0-0 Finland
Huyu mwamba amedanja nin
Naona wanazidi kmpa oxygen au ndy vile tena
Hali syo nzuri hapo
Cheki hiiEricksen what happen... jamani tumekimbia korona tunakutana na candiadic arrest.
Denmark wajitoe kwenye haya mashindano. So sad
KafanyajeMechi imeahilishwa
Erickson kabebwa nakuonfolewa uwanjani
Taarifa rasmi tunaisubiria
Hali ni tete kabisaa
Mechi imesimamishwa Eriksen anapatiwa matibabu ya dharura, tunaomba yasitokee ya Marc Vivien FoeMliopo luningani nini kinaendelea game ya Denmark