labda ni location mkuu; mi niko Dar natumia Antena ya kawaida kabisa na ninaona vizuri, labda na wewe jaribu ku-search. bado ni 1-0 kipindi cha pili sasa.
Bahati mbaya sana Mikono na Macho yangu hayafanyi kazi kama saa ya Mswiss.
La muhimu ilikuwa kufikisha ujumbe. Anyway, Kigiriki sikifahamu na hivyo ni rahisi kufanya makosa.
Kipindi cha pili kimeshaanza. Kwa ninavyowafahamu Wapolish, wanaweza kulemaa na wakafungwa kwa kujitakia kama mchezo. Sasa hivi tayari wameshajiona wameshinda na mechi imeshaisha. Wakifungwa goli moja wata-panick na wanaweza kuongezwa goli jingine kama mchezo mchezo.
68' GREECE HAVE A PENALTY! Szczesny has been sent off for bringing down Salpigidis in the box. Both teams with 10 men now. What a transformation in this match.