Hatimaye!
La kwanza tayari, tusubiri kitakachofuatia.
Ujerumani watataka kulinda ushindi wao na Uholanzi watataka kusawazisha.
Utamu wa mpira uuangalie!
Hatimaye!
La kwanza tayari, tusubiri kitakachofuatia.
Ujerumani watataka kulinda ushindi wao na Uholanzi watataka kusawazisha.
Utamu wa mpira uuangalie!
GOAL! Van Persie runs away from a couple of white shirts to wallop a shot low into the corner of the net. Brilliant finish from 25 yards, and this game is back on.
Pole sana Mkuu, ndio mchezo.
Mshindi wa pili wa World Cup ndio anaaga hivyo. Sasa ninasubiri kesho kuona kama Spain inasonga mbele au inaambatana na Uholanzi.