Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Ngoja nizime tv niendeleze kitungi, Hali ni mbaya sana kwa Netherlands
 
BJ bana....... hahahahahahahahahahaaaaaaaa,,,..... Umemuona GOMEZ????????

Acha tu Questt nime-give up, yaani mbuziiii wadachi!! Gomez mkali aisee, huh!!

Bet nimeshaliwa sina hamu aroo!
 
Ulebet????? hahahahahahaaa.... kaka mi nakujua huwa sio mtu wa kuingia Chaka kuhusu Choice.... Imekuaje leo??? pole sana !!! hahahahahahahaaaa

Mkuu wa dachi wako poa, kocha tu ndio kawaangusha na kiburi chake
 
Yaani hapa Bayern hasira zao zote za kumiss UCL wanazimalizia hapa...... GOMEZ ni soo....
 
Leo Amsterdam, Rotterdam kutakuwa kimya kabisa

"Kama matokeo hayatabadilika"
 
Kwisha kabisa, nimeliwa hela yangu mapema mno.
Usikate tamaa mkuu, mpira ni dakika 90, pegine kocha wa Holland ataona kosa lake na kusahihisha.
Yuko wapi Belo leo? Siku ile (9th June) alitaka Gomez atolewe aingizwe Klose, dakika 2 baadaye Gomez akapachika bao, na leo mawili.
 

MARIO GOMEZ


Super Mario: Gomez's neat finish handed Germany the lead


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…